Good school at afforadble fee

Good school at afforadble fee

Try with either Shaaban Robert, St Mathews, or St Anthony in Mbagala.
I wouldnt reccommend St Mary's either.
st.Mathew ni bomu la karne walifutiwa mitihani mwaka juzi kwa wizi wa mitihani na pia haina vision kuna mzazi alileta malalamiko yapo humu humu.juu ya shule hii.
 
Nakushauri FEZA BOYS.kama mwanamke Marian girls.
 
Feza boys kweli ni nzuri, ila fees kubwa pia anavyosema Mashauri ufaulu interview au uwe na kiwango wanachotaka, St Mary's hawa maadili pia hamna. Shule pamoja na matokea mazuri kwa mwaka angalia maadili pia, kama maadili ni mema mtoto anaweza kufaulu vizuri kwa ada unayoiweza kuliko ada itakayokuletea madeni.
 
Kuna wakati Loyola walikuwa wazuri,ila kwa sasa sijui!!,cheki matokeo yao la last time ili kujirisha kama bado wako juu academically!!!
 
I salute Feza Boyz academicallay, but am afraid ada yake itakuwa kubwa sana pale. but anyway, nitacheki nao. hata hivyo sizani kama wana hostel pale coz' nipo more interested na school with hostel or boarding school. but thx for advice, nitacheki
..B'se you are looking for boarding school you can think of St. Mathew, St. Francis Msolwa,am not sure about St. Anthony and Loyola if they have boarding facilities. You can check as well!!
 
st.Mathew ni bomu la karne walifutiwa mitihani mwaka juzi kwa wizi wa mitihani na pia haina vision kuna mzazi alileta malalamiko yapo humu humu.juu ya shule hii.
..Walifutiwa matokeo 2004 tu na haijatokea tena. Nina mtoto wa ndugu yangu anasoma pale they are good pia!! Kosa sio kurudia kosa...
 
jamaa wana Hostel nzuri sana yani za ukweli sana!!kwani olevel huyo kamaliza wapi?maana jamaa hawana utani na wala hawalei uzembe pale!!!
ila kuhusu ada hapo kaka inabidi ujiandae vya kutosha!!!

Dogo kamaliza St. Anthony's
 
Dogo kamaliza St. Anthony's

Aende kwenye Usaili maana Feza kuna kipindi huwa wanachukua wanafunzi wakiofaulu sana!!!
kwani mkuu vp si usubiri na matokeo anaweza chaguliwa shule ya serikali pia!!
 
kama kuna skendo za kuiba mitihani huko ndiyo safi watoto watafaulu vizuri........................jaribu hapo.
Na ukiacha matokeo mabovu St. Mary's wamekua na skendo za kuiba mitihani mara kwa mara. Sina uthibitisho but lisemwalo lipo. Nadhani mhusika mwenyewe ata chunguza hilo.
 
Wanajamii salamu!! naomba msaada wa taarifa. Ningependa kufahamu shule ambayo ina hostel au boarding school ambayo fee yake kwa mwaka is around TZS 1.5million.

Hii shule iwe good academically in A-Level, especially kwa combination ya EGM or PCB. Yeyote mwenye ufahamu, anitajie ada kwa mwaka na michango mingine ili niweze kujipanga. aidha, anifahamishe na sehemu ilipo shule husika. Si mnajua pesa zenyewe za manati!!!

Likewise, kuna mtu kaniambia St. Mary's Sec School- Mbezi campus ada yao ni TZS 400,000 kwa robo mwaka! Je, ni kweli? Na vp kuhusu academic status yake? waiting for your support wakuu

the same boy akifika chuo kikuu unambiwa ada 1.2m unalalamika,let me ask ada kubwa maana yake ni nini?niwaambie hawa watoto wa siku hizi wanaosoma shule za gharama kuliko wengine je wana uwezo kuliko st kanumbas?ni kupoteza resourse na kumchanganya mtoto, unampa class ambayo huku juu haipati!PCM tumesoma bila mwalimu wa kueleweka, maji shida, etc but tukalamba div 1 miaka ya 90's tu hapo! so leo 3m ada for secondary school, its insane!bora wenye hela nyingi hawajui wazitumieje, mlalahoi unafight hata tu safari twa moto baridi tunakushinda ulipe 3m ada ya sec, chuo kikuu oooh govt ilipe! hii haina tofauti na masuala ya wedding ceremony yalivyo nowdays!!shule ya standard,walimu wawepo ya juu sana sana sana may be 1m basi! mttoto anataka starehe hata hela hajui kutafuta? well may be nipo conserv've mimi!!
 
Uzuri wa Shule unategemea na Vitu vingi. Jamaa wa FEZA wamefanya investment ya kutosha ktk Elimu si kubahatisha.Gharama zao ni kubwa lkn mtoto anapata full set ya Elimu inayotakiwa. Mambo ya Maabara si ya kubahatisha, ni shule ya Kwanza kufanya Science Exbihition kwa wanafunzi. Si Science ya kucrame kama wengine tuliopita government...!!!
Wanaomaliza F.6 wanawekwa kamp kwajili ya kwenda Uturuki Kusoma University, Imekuwa Gateway kubwa ya Vijana kwenda Ulaya...
Sijui shule ya Wasichana ikoje...!!! ila twasikia nzuri..!!

Loyola ktk shule nzuri. Boarding Hana ila walikuwa na utaratibu wa kuwakodia wanafunzi nyumba opposite na shule. na wanakuwa na Follow up ya Nguvu. ni ktk shule ambazo wana taratibu nzuri.

Shule yoyote nzuri unayoisikia basi kupata nafasi yake ni tabu. Loyola huwa hawachukui wanaohamia..even form 1, wanakuwa na Pre-form one yao..ila waweza pata ukitafuta proper channel.

Same za wasichana akina St. Fransis, St.Marian...kuzipata kwake ni kazi kubwa kwani kila mzazi anataka apeleke mtoto wake...Zote hizi zinahitaji maandalizi au lobbying ya kutosha.

By the way mwache aende Tambaza/Azania kwa wajanja...!!! na still watakutana Mlimani wote wakisomeshwa na waalim hao hao...!!! kuna boarding za kimtindo...!!! tusitake makuu km uwezo hauruhusu.
 
What about Alpha High School iliyopo maeneo ya Mwenge/Mikocheni? Nasikia wamejaribu kuwa strict na performances za wanafunzi wao. Hizi shule zinazofanya vizuri kama Marian n.k. nimejua baada ya kuongea na mmoja wa wanafunzi wao juu ya success factors zao. Mmoja wapo ni kwamba huwa wanamaliza syllabus mapema sana - upto more than 6 months kabla ya mitihani. Hivyo kipindi chote mpaka wakati wa mitihani huwa wanafanya revision na ku-solve past papers.
 
Uzuri wa Shule unategemea na Vitu vingi. Jamaa wa FEZA wamefanya investment ya kutosha ktk Elimu si kubahatisha.Gharama zao ni kubwa lkn mtoto anapata full set ya Elimu inayotakiwa. Mambo ya Maabara si ya kubahatisha, ni shule ya Kwanza kufanya Science Exbihition kwa wanafunzi. Si Science ya kucrame kama wengine tuliopita government...!!!
Wanaomaliza F.6 wanawekwa kamp kwajili ya kwenda Uturuki Kusoma University, Imekuwa Gateway kubwa ya Vijana kwenda Ulaya...
Sijui shule ya Wasichana ikoje...!!! ila twasikia nzuri..!!

Loyola ktk shule nzuri. Boarding Hana ila walikuwa na utaratibu wa kuwakodia wanafunzi nyumba opposite na shule. na wanakuwa na Follow up ya Nguvu. ni ktk shule ambazo wana taratibu nzuri.

Shule yoyote nzuri unayoisikia basi kupata nafasi yake ni tabu. Loyola huwa hawachukui wanaohamia..even form 1, wanakuwa na Pre-form one yao..ila waweza pata ukitafuta proper channel.

Same za wasichana akina St. Fransis, St.Marian...kuzipata kwake ni kazi kubwa kwani kila mzazi anataka apeleke mtoto wake...Zote hizi zinahitaji maandalizi au lobbying ya kutosha.

By the way mwache aende Tambaza/Azania kwa wajanja...!!! na still watakutana Mlimani wote wakisomeshwa na waalim hao hao...!!! kuna boarding za kimtindo...!!! tusitake makuu km uwezo hauruhusu.

Mkuu ni kweli alichosema mheshimiwa hapo juu, Feza is the best in DAR but it seems budget itakuwa hairuhusu.

Mimi pia nilikuwa na mdogo wangu alipata matokeo mazuri sana na akachaguliwa AZANIA nilihangaika sana kutafuta uhamisho kwenda Kibaha Sec. but ikashindikana. Feza hawatoi ECA ikabidi nienda Loyola ambayo inakaribiana na Feza kwa quality nikawa nimechelewa na hawana boarding.

Ilibidi aende AZANIA na Feb. '10 anamalizia F6. Kuna baadhi ya masomo ndio matatizo maana hakuna walimu wa uhakika ispokuwa inasaidia sana gruop discussion na tuition kidogo.

Jaribu kutafakari ikishindikana mpeleka AZANIA na fee yao ni ndogo sana si unajua mambo ya government schools!!
 
Back
Top Bottom