st.Mathew ni bomu la karne walifutiwa mitihani mwaka juzi kwa wizi wa mitihani na pia haina vision kuna mzazi alileta malalamiko yapo humu humu.juu ya shule hii.Try with either Shaaban Robert, St Mathews, or St Anthony in Mbagala.
I wouldnt reccommend St Mary's either.
Nakushauri FEZA BOYS.kama mwanamke Marian girls.
Nakushauri FEZA BOYS.kama mwanamke Marian girls.
..B'se you are looking for boarding school you can think of St. Mathew, St. Francis Msolwa,am not sure about St. Anthony and Loyola if they have boarding facilities. You can check as well!!I salute Feza Boyz academicallay, but am afraid ada yake itakuwa kubwa sana pale. but anyway, nitacheki nao. hata hivyo sizani kama wana hostel pale coz' nipo more interested na school with hostel or boarding school. but thx for advice, nitacheki
..Walifutiwa matokeo 2004 tu na haijatokea tena. Nina mtoto wa ndugu yangu anasoma pale they are good pia!! Kosa sio kurudia kosa...st.Mathew ni bomu la karne walifutiwa mitihani mwaka juzi kwa wizi wa mitihani na pia haina vision kuna mzazi alileta malalamiko yapo humu humu.juu ya shule hii.
jamaa wana Hostel nzuri sana yani za ukweli sana!!kwani olevel huyo kamaliza wapi?maana jamaa hawana utani na wala hawalei uzembe pale!!!
ila kuhusu ada hapo kaka inabidi ujiandae vya kutosha!!!
Dogo kamaliza St. Anthony's
Na ukiacha matokeo mabovu St. Mary's wamekua na skendo za kuiba mitihani mara kwa mara. Sina uthibitisho but lisemwalo lipo. Nadhani mhusika mwenyewe ata chunguza hilo.
Wanajamii salamu!! naomba msaada wa taarifa. Ningependa kufahamu shule ambayo ina hostel au boarding school ambayo fee yake kwa mwaka is around TZS 1.5million.
Hii shule iwe good academically in A-Level, especially kwa combination ya EGM or PCB. Yeyote mwenye ufahamu, anitajie ada kwa mwaka na michango mingine ili niweze kujipanga. aidha, anifahamishe na sehemu ilipo shule husika. Si mnajua pesa zenyewe za manati!!!
Likewise, kuna mtu kaniambia St. Mary's Sec School- Mbezi campus ada yao ni TZS 400,000 kwa robo mwaka! Je, ni kweli? Na vp kuhusu academic status yake? waiting for your support wakuu
tafuta shule mwenyewe
Uzuri wa Shule unategemea na Vitu vingi. Jamaa wa FEZA wamefanya investment ya kutosha ktk Elimu si kubahatisha.Gharama zao ni kubwa lkn mtoto anapata full set ya Elimu inayotakiwa. Mambo ya Maabara si ya kubahatisha, ni shule ya Kwanza kufanya Science Exbihition kwa wanafunzi. Si Science ya kucrame kama wengine tuliopita government...!!!
Wanaomaliza F.6 wanawekwa kamp kwajili ya kwenda Uturuki Kusoma University, Imekuwa Gateway kubwa ya Vijana kwenda Ulaya...
Sijui shule ya Wasichana ikoje...!!! ila twasikia nzuri..!!
Loyola ktk shule nzuri. Boarding Hana ila walikuwa na utaratibu wa kuwakodia wanafunzi nyumba opposite na shule. na wanakuwa na Follow up ya Nguvu. ni ktk shule ambazo wana taratibu nzuri.
Shule yoyote nzuri unayoisikia basi kupata nafasi yake ni tabu. Loyola huwa hawachukui wanaohamia..even form 1, wanakuwa na Pre-form one yao..ila waweza pata ukitafuta proper channel.
Same za wasichana akina St. Fransis, St.Marian...kuzipata kwake ni kazi kubwa kwani kila mzazi anataka apeleke mtoto wake...Zote hizi zinahitaji maandalizi au lobbying ya kutosha.
By the way mwache aende Tambaza/Azania kwa wajanja...!!! na still watakutana Mlimani wote wakisomeshwa na waalim hao hao...!!! kuna boarding za kimtindo...!!! tusitake makuu km uwezo hauruhusu.