Fillipina Bellini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 353
- 490
ni nani huyoAhmale Lerato Bonginkosi alias Umkontho We Sizwe: 26 July 1984-07 March 2018
Huyu mdada nilikutana nae kwenye semina shirikishi ya pan African movement, marekani mwaka just dah, dah Ali ni inspire sana
Ndio naskia eti amefariki
Kifo ni kifo tu...ndugu.....alikuwa mwembamba mrefu wa wastani, alikuwa mzima kabisa...nilipomwona May mwaka 2017Mbona kama alikuwa mgonjwa sana au ndo ugonjwa wetu wa kisasa umembeba
pan afrika mvmnt ile ya akina marcus garvey na duboise iliyofeli au ni ile ya kina kwame na nyerere sijajua iyo yenu ipo katika mlengo gani.Kifo ni kifo tu...ndugu.....alikuwa mwembamba mrefu wa wastani, alikuwa mzima kabisa...nilipomwona May mwaka 2017
pan afrika mvmnt ile ya akina marcus garvey na duboise iliyofeli au ni ile ya kina kwame na nyerere sijajua iyo yenu ipo katika mlengo Gani
Wekeni details zake kidogo,wengine hata hatumjui...
account yake ipo Wazi kwa siku saba, chini ya uangalizi wa wanasheria, mnakarib ishwa kumuaga
ya Garvey na Dubois,Nyerere na Kwame yote kitu moja, swali wewe una ama ume fanya nini kwa ajili ya movement hii????pan afrika mvmnt ile ya akina marcus garvey na duboise iliyofeli au ni ile ya kina kwame na nyerere sijajua iyo yenu ipo katika mlengo gani.
Typing erratum apologiesMbona sielewi..post yangu imeongezwa maneno!!