Goodbye our commander Umkontho

Goodbye our commander Umkontho

466949.jpg

Ahmale Lerato Bonginkosi alias Umkontho We Sizwe: 26 July 1984-07 March 2018
 
Huyu mdada nilikutana nae kwenye semina shirikishi ya pan African movement, marekani mwaka just dah, dah Ali ni inspire sana
Ndio naskia eti amefariki

pole sana kwa msiba mkuu..na vipi kuhusu hyo movement ya pan african movement imefikia wapi? maana naona black american wameamka kutoka kwenye usingizi mzito na wanahamia ghana kwa kasi sana nahitaji kujua some details kuhusu hyo movement
 
Back
Top Bottom