Goodbye our commander Umkontho

Goodbye our commander Umkontho

Kafa menzi mitatu imepita uzi mnafungua leo alafu account yake ipo online mnasema ipo chini ya wanasheria tunaomba na sisi tujuwe kauwawa au kafa kwa ugonjwa wa kawaida na kwanini hao wanasheria watumie account ya marehemu kama ajauwawa
hatuko huru kusema chochote zaidi ya hapa, kwa mujibu wa sheria..zaidi ya waraka aliouacha Umkontho kwa wanaharakati wote...an open letter to all the revolutionaries
 
Sawa sawa nimekuelewa ili ndio jibu nililitaka ili kukamilisha swali nililokuwa najiuliza nilikuwa namfuatilia sana alikuwa ni mwafrika hali sura paka roho ila ndio hivyo
 
download.jpeg
 
hatuko huru kusema chochote zaidi ya hapa, kwa mujibu wa sheria..zaidi ya waraka aliouacha Umkontho kwa wanaharakati wote...an open letter to all the revolutionaries
Huo waraka aliouacha uko wapi?
 
Back
Top Bottom