Goodbye Ronaldo mechi ya mwisho na Brazil

Goodbye Ronaldo mechi ya mwisho na Brazil

Ronaldo De Lima hana wa kufanana naye, hata akinenepa zaidi ya Pepe Kalle, rikodi zake zitabaki kuwa wa kipekee.
 
Niliona mechi ya mwisho aliyocheza Ronaldo, kanenepa kwa kweli,kitambi hiloo kawa mweupeee!
Lkn bado ana mvuto wa aina yake!
 
Back
Top Bottom