Goodluck Gozbert amepotelea wapi?

Goodluck Gozbert amepotelea wapi?

Lolimwaaa.

Jamaa ni producer mkubwa sana hapa Tanzania, ametengeneza hit song nyingi sana hasa za wasanii wa kanda ya ziwa.

Yule dogo alieimbaga BASII NEENDA, hit zoote producer alikua Goodluck, nadhan sasa hivi yuko bize na music production.

Jina la uproducer anaitwaga LOLIPOP, katengeneza hit nyingi sana bongo fleva
Nnje ya mada
 
Hello.

Nini kimetokea kwa msanii wa nyimbo za Gospel Good luck Gozbert amekuwa na ukimya mkubwa sana uliopitiliza na haieleweki umesababishwa na nini.

Hakuna hits song Tena Wala kuvuma na nyimbo zake zile kama zamani.
Yule ustake ncheke gospel alivamia tu
 
Hello.

Nini kimetokea kwa msanii wa nyimbo za Gospel Good luck Gozbert amekuwa na ukimya mkubwa sana uliopitiliza na haieleweki umesababishwa na nini.

Hakuna hits song Tena Wala kuvuma na nyimbo zake zile kama zamani.
Nadhani jibu umepata
 
Back
Top Bottom