Goodluck Gozbert sio mwimbaji wa Gospel




Unasema kuwa njia iendayo upotevuni ni pana nao waingiao ni wengi unasema ni maneno yangu mimi? Kwamba haijaandikwa kwenye Biblia takatifu?

Soma Inji ya Mathayo 7:13

Kutokuwepo kwa waimbaji wa kweli hakufanyi hao waimbaji wasakapesa kuwa halali [emoji108][emoji108]

Kwanza naamini wapo sema wengine hawana access to social media .








Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuni tu. Sasa kunahaja gani yaku hide namba yake ilihali jina na parokia kiacha wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mnafiki wewe

kabla ya kufika mathayo 7:13

ungeanza mstari wa kwanza unaosema USIHUKUMU

Mathayo 7:1
 
Umeeleza vyema kabisa, mkuu. Yeye ametumia kigezo cha mdundo, flow na video tu. Hajajua Gospel ni zaidi ya hivyo vitu.
 
Mnafiki wewe

kabla ya kufika mathayo 7:13

ungeanza mstari wa kwanza unaosema USIHUKUMU

Mathayo 7:1


[emoji3][emoji3]

Nimekupa andiko unaanza kuleta ubabaishaji?!

Imeandikwa : Mungu hadhihakiwi apandacho mtu ndicho atakachovuna!

Tuwe siriasi na mambo ya Mungu na siyo masihara masihara.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Simchukii Goodluck Gozbert...Amri kuu inasema Pendaneni kama nilivyowapenda ninyi..ila sikubaliani na matendo yake..Biblia inatuambia tuukemee uovu tunapouona... Msiziami kila Roho bali zijaribuni kupima kama zinaendana na matendo ya ufalme wa nuru.

2.Naomba ukasome tena maana ya kuhukumu utofautishe na neno kukosoa, naona unatumia neno hili vibaya/pasipo staili.

3.Hauwezi kumshurutisha mtu atubu kwa kuwa hajakubaliana na mtazamo wako kwenye jambo fulani...Hii ni kama unajiona mkamilifu kutokana na hoja zako na kuwa wasiokuwa upande wako wanakosea.

4.Siasa (Si hasa) imeharibu uhalisia wa hoja zako (Sitatoa maelezo hapa, nakuacha ujitafakari)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Umeleta hoja ya mziki wa Congo...Sijasema kama huu mziki ndio gospel ya kweli (sijui imekujaje, labda ni njia ya ku-jistfy hoja zako)...Labda usome uzi wangu tena (najua umeshaurudia mara kadhaa).

2.Swala la kuonyesha kuwa kanisa lili-fail ndio maana akaja na huo wimbo...This makes no sense..Hakuna sehemu ambayo inazungumzia kufeli kwa kanisa (Embu utazame huo wimbo tena)

Again,Asante kwa kuchangia.Ni mawazo mazuri sana japo nadhani sio ya uzi huu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna binadamu mkamilifu Ila mtu anayemtetea Good luck Gosbert kuwa ni mwimbaji wa injili ni mtu ambaye hajawah fungua Biblia na kusoma japo fungu moja....
Gosbert ni mwimbaji wa bongo fleva , miaka ya nyuma alikuwa anajiita (Lolypup), amewatungia nyimbo nying Sana akina Baracka da prince , Mo music n.k na pia kagonga beat nying Tu za Hawa watu , m.f siachani nawe ya Baracka da prince beat katengeneza yeye......injili ilikuwa kivuli Tu Ila sa hv kaanza kujionyesha rangi yake halisi....
Huyu Mwamba namwelewa kitambo sema huwa nawachora Tu wanaomtetea , they know nothing
 

Haujatubu mpaka saa hizi

Exposure ndogo dogo

That is real gospel

Video imeendana kabisa na theme ya wimbo

Tubu tu huna pa kutokea, jikaze
 

Umehukumu

Umechukua nafasi ya Mungu

Umeweka mtazamo wako, umekosea that is dini sio siasa

Ume abuse mathayo 7:1

Hauna kipengele cha bible kinachotetea opnions zako kwenye ule wimbo
 

Sijaelewa

Naona kumsifu Mungu umetenga....huyu anaruhusiwa na huyu haruhusiwi...Mungu hayuko hivyo, ndio maana sio Athumani

Well kaangalie kazi ya msalaba kazi ya Yesu, he is dealing with sinners

Chidumule, kanye west na other big singer akiwemo whitney, michael....waliimba na wanaimba gospel

Content ya wimbo haina uhusiano na mwimbaji!!!!!

Unachosema you need holy ones to sing gosper!!! ??????Wrong

Wanakwaya, na unaowajua wanaimba miziki ya injili wanatenda dhambi na wana dhambi zao!! Nyingi tu ila haujui

Kujua huyu anafanya dhambi fulani, HAKUONDOI KUWA WIMBO WAKE NI WA GOSPEL

BEN pol juzi katoa wimbo wa Ebenezer...

Wimbo bado unakuwa wa injili na kumsifu Mungu jomba
 
1 Yohana 2:15 Msiipende dunia wala mambo yaliyomo duniani. Kama mtu akiipenda dunia, hawezi kumpenda Baba.

Waefeso 5:11 Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni.

Umehukumu

Umechukua nafasi ya Mungu

Umeweka mtazamo wako, umekosea that is dini sio siasa

Ume abuse mathayo 7:1

Hauna kipengele cha bible kinachotetea opnions zako kwenye ule wimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegundua point zako ni zile zile tangu umeanza kuchangia kwenye uzi huu...I doubt we might be having a conversation with a malfunctioning machine.

Again,,Siasa imeharibu uhalisia wa hoja zako.Jitafakari sana @Waberoya.Unastruggle sana kutafuta point za kuchangia kwenye uzi huu unaohusu gospel.Na haujajua kuwa umekuwa una point zile zile tena zisizo na evidence (soma point zako). Waberoya,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…