Author
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 1,715
- 8,058
- Thread starter
- #81
Kama anatuambia kuwa anaimba gospel lakini anafanya matendo ya kidunia...Mchunguzeni Nafaka,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge ya gospel hilo. Sema watu wanaikatikia mauno na kunywea bia bila kujua maana yakeHapa nilipo nasikiliza rhumba gospel (muzina) ya mzee Tabu ley .
Nitajie wasanii wako unaokubari kwamba wanaimba Gospe? halafu nenda katafte gospel za miaka ya 50 au 40 uone kama wanavyoimba ni sawa na haoGospel haibadiliki brother,,watu ndio tunabadilika...Mungu ni yule yule jana,leo na milele habadiliki hivyo na gospel haijabadilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajie wasanii wako unaokubari kwamba wanaimba Gospe? halafu nenda katafte gospel za miaka ya 50 au 40 uone kama wanavyoimba ni sawa na hao
Hao ulowataja wanaimba Gospel, kina mmoja anatumia beat za reggae akishusha mashairi ya kusifu ila umemkingia kifua na kumtaja anaimba gospel. Ukigusa mahadhi ya wanayotumua waimbaji, basi tazama na beat zinazotumika. Ukitumia kigezo hiko. Huu uzi wako utaomba ufutwe
Sijazungumzia beat wala vyombo vilivyotumika kwenye wimbo Hassan Mambosasa, wala sijazungumzia aina ya uimbaji. Nazungumzia matendo yaliyopo kwenye wimbo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anaimba nyimbo za kijamii, siyo GOSPEL !
Umejibu yote vzr. Mwenye akili atajiongeza kuwa Gospel inayoimbwa ni ya mungu anayemjua yeyeUnaniuliza swali ambalo majibu yake unayo... Sijajua lengo lako ni nini, lakini nitakujibu. Jibu la swali la kwanza ni "hapana" na swali la pili jibu ni "hapana" na majibu ya maswali yako yote yanaweza kuwa "ndiyo." Inategemeana na Mungu unayemuabudu anafurahishwa na nini tu. Kama anapendelea uimbe uchi, basi upo sahihi kabisa - Ni gospel hiyo kwa mujibu wa Mungu wako.
Mungu hakuwaita waliostahili, ila aliwastahilisha alio waita! Na pia, bwana hakuja kwa ajili ya wenye haki,ila alikuja kutafuta kile kilichopotea.H
Hamna gospel pale clouds wanamdanganya akaimbe kwenye fiesta washabiki wameshika mibia mikononi wengine wanabakana,wamevaa vichupi tu gospel gani!..ni staili tu ya kupiga hela
Kusema maneno ya Mungu sio lazima iwe GospelHana checklist, sababu, criteria, methodology au standard inayosema this is gospel na this js not gospel
Kuna miziki yenye maadhi ya taratibu na vinanda siku hizi zina matusi mwanzo mwisho
Yeye kaangalia mdundo, sio maneno... Kasahau maneno ndio yametengeneza video... Na ndio uhalisia wa maisha tunayoishi
Aijalishi upo kwenye imani gani ila kwa Miungu na mitume wote ujumbe ni mmoja tu "Mpende jirani yako kama nafsi yako"....Ukisema unampenda mtu bila matendo si kitu....Matendo ndiyo kipimo pekee...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hakuwaita waliostahili, ila aliwastahilisha alio waita! Na pia, bwana hakuja kwa ajili ya wenye haki,ila alikuja kutafuta kile kilichopotea.
Kusema maneno ya Mungu sio lazima iwe Gospel
Hata wachawi hayo wanasema
Sent using Jamii Forums mobile app