LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Akili ya mwafrika ninaijua vizuri utafikiri Mimi ndio nimewaumba waafrika.
Waafrika watasema:
" Ooh! GeorDavie anachukua nyota za watu anao wasaidia ndio maana kila akiwapa magari wanapotea kiumaarufu na mambo yao yanaenda kombo.
Mara ooh " wamiliki wa Tiktok ni Freemasons ndio maana kila mtu watakae mpa zawadi mtu huyo hufa soon thereafter, kwa sababu wanakuwa wamemchukua nyota yake."
Ujinga ujinga tu.
Kosa kubwa la Geor Davie ni kuwasaidia masikini hadharani. Hicho ndicho kinacho mponza Geor Davie. Kama una mpenda masikini usimsaidie hadharani aisee, na sababu yangu ni hii👇👇
Ni hivi, unapo mpa msaada hadharani masikini wa kiafrika, ndugu zake huchukizwa, hatimae wanaenda kumroga ili aharibikiwe na msaada alio upata usimsaidie kwa lolote lile kwenye maisha yake..
Most of the time huwa analogezewa kupata madhara kupitia kitu alicho pewa.
Mfano umempa, masikini hela nyingi, ndugu zake wataenda kushitaki kilingeni kama ifuatavyo👇👇👇
Pesa aliyo pewa huyu Bwana Buhwahwa asiifanyie chochote cha maana kwenye maisha yake.
Akinununua gari lipinduke apate ulemavu wa maisha au afe.
Akienda kunywa pombe zimletee kisukari na presha ateseke kwa magonjwa hayo maisha yake yote.
Au anywe azidishe aendeshe gari akiwa amelewa a over speed apate ajali afe.
Akinunua wali nyama apate kisukari na presha kupitia wali huo atakao kuwa anakula.
Akinywa chai apate kisukari.
Akinywa soda imletee kisukari
Akisex na mwanamke basi mwanamke huyo awe na Ukimwi na amuambukize au awe mke wa mtu na mwenye mume ajue aende akamfumanie amuue... blah blah blah.
Na masikini wengi ( wakiwemo walokole) wanaogopa sana uchawi.
Na mtu yoyote anae ogopa uchawi basi uchawi lazima umdhuru kwa sababu anaupa nguvu kupitia hiyo energy ( hofu) ambayo ame I release kwenye universe.
Mwisho wa siku masikini huyo mambo yake yanakwenda mrama na huishia kumlaumu alie msaidia hasa hasa aliemsaidia awe ni mtu mwenye power kwenye jamii kama Geor Davie.
Goodluck Gozbert wacha kumdhalilisha Geor Davie.
Wewe umelogwa na watu wa nyumbani kwenu.