Goodluck Gozbert umelogwa na ndugu zako na sio GeorDavie. Sababu zangu ni hizi hapa chini👇

Goodluck Gozbert umelogwa na ndugu zako na sio GeorDavie. Sababu zangu ni hizi hapa chini👇

Huyu wala hajalogwa, ila ujinga wake ndie mchawi mwenyewe kufikiri kupatia maisha ndio mwanzo na umilele wa mafanikio.
Nyakat ngumu hata Elon Musk alizipitia ila aliinuka tena, yeye anajiona nani asiestahili changamoto?
 
Back
Top Bottom