Goodluck Gozbert umelogwa na ndugu zako na sio GeorDavie. Sababu zangu ni hizi hapa chini๐Ÿ‘‡

Ujinga ujinga tu.
Mkuuโ€ฆ Kwan huyo nabii amekupa bei gani ili uje umtetee?

Pia kwann una msemea Gozbet!
Kwani mwenyewe Gozbet ametoa ushuhuda gani?
 

Attachments

  • Screenshot_20250124-072536.jpg
    145.1 KB · Views: 1
Kidbway now ni boss cloudes media , na ndio aliyekua meneja wa good luck, so unganisha dots Nani kampoteza mwenzake, toka wanafahamiana wakiwa mwanza, kid akiwa radio free, kidbway ndio anachukua 60% ya mapato yote ya kazi za gozbert
60โ„…? Aloo
 
ndicho alichosema kwenye interview yake ya masaa 2:23, same thing ila ametumia maneno tofauti tu.
 
Haya mambo ya kiroho yako complicated sana. Ukisema ushtakie wabaya wako kwa Mungu unaona anachelewa kukupa mrejesho wakati wewe unataka maombi leo, kesho tu uone wabaya wako wanavaa vyupi kichwani.

Mwenyezi Mungu atupe subra na tujifunze hekima na busara zake tukiwa katika nyakati ngumu.
 
goodluck hataa asemee VP watu hawawezi mwelewa lkn kiuhalisia yy ndiye aliyepewa gari na maswaibu aliyopitia kuhusu hlo gari anayajua yy,ss akimweleza mtu mwingine ambaye ajapitia alichopitia lzm aonekane kachangangikiwaa ila ombaa tu yasijekukutaa km ya yule dadaa wa magomen aliyeolewa Ruvuma na alichoenda kukutana nacho kilaa akiwaelezeaa watu wanaona kachanganyikiwa huyu na ana msongo wa mawazo๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿคญ
 
"Na masikini wengi ( wakiwemo walokole) wanaogopa sana uchawi "# Acha uongo na upotoshaji,Mlokole gani anaogopa uchawi,na nani alikwambia walokole ni masikini?endelea kujifariji,uzuri walokole wenye fedha zao hawana kelele,ni kufurahia maisha yake na Mungu wake tu na sio kwenye mabaa na pubs...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ