Pa-Paa JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 916 Reaction score 1,363 Jan 29, 2025 #41 Huyu wala hajalogwa, ila ujinga wake ndie mchawi mwenyewe kufikiri kupatia maisha ndio mwanzo na umilele wa mafanikio. Nyakat ngumu hata Elon Musk alizipitia ila aliinuka tena, yeye anajiona nani asiestahili changamoto?
Huyu wala hajalogwa, ila ujinga wake ndie mchawi mwenyewe kufikiri kupatia maisha ndio mwanzo na umilele wa mafanikio. Nyakat ngumu hata Elon Musk alizipitia ila aliinuka tena, yeye anajiona nani asiestahili changamoto?