Nawasalimia nyote.
Nimekuwa nikifuatilia mahojiano mbalimbali ya moja kwa moja kipindi cha morning trumpet, Azam TV. Kwa maoni yangu mtangazaji Goodluck amekuwa akifanya mahojiano bila weledi, amekuwa akibishana na mgeni bila hoja za msingi. Anakua msemaji mkuu bila kumpa mgeni nafasi ya kujieleza. Mfano halisi angalia sasa kipindi kinaendelea mgeni akiwa Salum Mwalimu, Katibu Mkuu CHAUMA.
Haya ni maoni yangu binafsi yasihusishwe na chochote, naomba kuwasilisha.