Leta ushahidi wa unachokisema !?Nawasalimia nyote.
Nimekuwa nikifuatilia mahojiano mbalimbali ya moja kwa moja kipindi cha morning trumpet, Azam TV. Kwa maoni yangu mtangazaji Goodluck amekuwa akifanya mahojiano bila weledi, amekuwa akibishana na mgeni bila hoja za msingi. Anakua msemaji mkuu bila kumpa mgeni nafasi ya kujieleza. Mfano halisi angalia sasa kipindi kinaendelea mgeni akiwa Salum Mwalimu, Katibu Mkuu CHAUMA.
Haya ni maoni yangu binafsi yasihusishwe na chochote, naomba kuwasilisha.
Nawasalimia nyote.

wewe ni mpumbavu. Kuna uovu unafichwa na wanaoojiwa huyo ndio anafaa sana Kwa watu wenye rangi mbili mbili kama wewe.Nawasalimia nyote.
Nimekuwa nikifuatilia mahojiano mbalimbali ya moja kwa moja kipindi cha morning trumpet, Azam TV. Kwa maoni yangu mtangazaji Goodluck amekuwa akifanya mahojiano bila weledi, amekuwa akibishana na mgeni bila hoja za msingi. Anakua msemaji mkuu bila kumpa mgeni nafasi ya kujieleza. Mfano halisi angalia sasa kipindi kinaendelea mgeni akiwa Salum Mwalimu, Katibu Mkuu CHAUMA.
Haya ni maoni yangu binafsi yasihusishwe na chochote, naomba kuwasilisha.
wanao ojiwa Kuna mambo huwa hawapendi waojiwe..Kama waojiwa wanakubali kuzalilishwa? Tunafanyaje, Nakumbuka Kuna siku Malema alikuwa anahojiwa na Jamaa wa BBC kama sikosei, akanyamaza akamuacha jamaa aongee akiwa kimya, akamwambia kama unataka ongea na kujibu mwenyewe ni sawa!
Hawa waandishi huwa wana iga aggressive interviews, ila zinatakiwa kufanyika kwa busara, ni nzuri sana, ila kama wahojiwa wanaendelea kuja bila kugoji,
Who cares?
wanao ojiwa Kuna mambo huwa hawapendi waojiwe..
Kila mtu afanye alicho somea📌Nawasalimia nyote.
Nimekuwa nikifuatilia mahojiano mbalimbali ya moja kwa moja kipindi cha morning trumpet, Azam TV. Kwa maoni yangu mtangazaji Goodluck amekuwa akifanya mahojiano bila weledi, amekuwa akibishana na mgeni bila hoja za msingi. Anakua msemaji mkuu bila kumpa mgeni nafasi ya kujieleza. Mfano halisi angalia sasa kipindi kinaendelea mgeni akiwa Salum Mwalimu, Katibu Mkuu CHAUMA.
Haya ni maoni yangu binafsi yasihusishwe na chochote, naomba kuwasilisha.
Sidhani kama kumtukana mtu ni busara, sijaona kama kutoa mtazamo wangu nastahili kutukanwa na wewe! Nakushukuru.wewe ni mpumbavu. Kuna uovu unafichwa na wanaoojiwa huyo ndio anafaa sana Kwa watu wenye rangi mbili mbili kama wewe.