Goodness of Fit: Love, Loyalty and Betrayal

Episode 7: K ni sarafu
********************************

Nikiwa bado nipo sebuleni kwa mdogo wangu, mawazo yakarudi hadi siku ile Tom alivoniletea simu nikiwa namuandalia supu ya kuku wa kienyeji. Uzuri Tom wakati ananiletea ile simu jikoni alikua anaongea na simu yake, so hakupata mawazo ya kusoma msg iliyoingia. Alivonikabidhi, nikajifuta mikono kwenye kitaulo kidogo pale jikoni kisha nikaishika fresh. Ki ukweli sikua na wasiwasi sana maana mtu pekee anaeweza niharibia alikua ni Dani, na kama mnavyojua nlikua nishamblock, so hakua na namna ya kunitafuta.

Ile nafungua msg mpya kwenye whatsapp, nikakutana na picha. Picha ya kwanza ilikua inaonesha mdada kalala kwenye sofa, mguu mmoja upo chini, mmoja kaunyosha sofani, sura ilikua haionekani, lakini tayari nishajua kinachotokea. Picha ya pili ndo ilikua inaonesha sura, uso ulikua umegeukia upande mwingine, lakini huhitaji kuangalia marambili kugundua kuwa yule ni MIMI. Yani naonekana live nimelala, nimejiachia mwenyewe kitumbua hiki apa. Mnajua kuvunjika moyo nyie?, sidhani, ebana siku hiyo nlihisi maumivu physically ya kuumia moyo, ni kama kuna mtu yuko ndani ya kifua anagonga na nyundo moyo wangu. Ndo hivyo, sikuhitaji kujiuliza mara mbili hii msg nani katuma, huyu ni Dani, na siku ile ananila baada ya kumaliza kumbe alinipiga picha. Ujumbe haukua na maelezo zaidi, zilikua ni picha kama sita hivi, nyingine zikiwa zimezoom kabisa uchi wangu.

So mnaona maana yangu nlivowaambia kuwa Dani alikuja kunila tena?, sikua na jinsi ndugu wasomaji. Utaendelea kukataa kutoa mzigo wakati mtu ana picha zako za namna ile?, he blackmailed me. Nilituma msg kwenye ile namba, tena sio moja, msg kama kumi hivi, ingawa zinaonesha kuwa delivered ila hakua anarespond. Yani ilibidi nimdanganye Tom kuwa kuna rafiki yangu anashida ya ghafla, ili tu nitoke pale home maana ningeendelea kukaaa pale, angegundua tu kuna something wrong. Jaribu kumpigia Dani ili walau aniambie anataka bei gani tuyamalize, ila wala hakupokea. Nikawa nimetoka home mpaka hoteli moja inaitwa Impala. Nimekaa pale kuanzia asbu ile mpaka mchana wa saa nane ndo dani akajibu msg, eti ‘hi beautiful’. Nikampigia.

Dani alikua anaongea so relaxed. Madai yake eti niende tuongelee kwake. Nikamuomba sana, aje nilipo. Baada ya kumbembeleza sana akakubali. Nikajua lazma atataka hela, so nikaenda benki chap iliyokaribu pale, nikadraw milioni, nikarudi impala. Alivyokuja yani nlishikwa na bonge la hasira, nikatamani ningekua na bastola nimlipue risasi ya kichwa, kmmk, bt hasira zangu zikaishia kulia tu. Tumekaa kama dkk 10 pale mi nalia tu, siezi hata kuongea. “Sikia Neema, kulia hakutakusaidia. Kumbuka nlikuomba uje home kama ulivyoahidigi bt ukagoma, sikua na lengo hata la kufika hapa tulipofika bt umenilazimisha wewe”. Nlimuangalia kwa hasira mno, “How could you do that Dani, kama hukua na nia mbaya why ulinipiga picha? Si ni ili uje unisambaze mitandaoni kama unavyo tishia now”, dani aliniangaliaaaa, then akatabasam, “Sikia Neema, mi nlipiga picha zile kwa matumizi yangu binafsi, mabaharia wanaelewa kazi yake, wanaume karibu wote wana picha za uchi walizotumiwa na wapenzi wao, na hata wakiachana hawazisambazi na hao ma ex wao hawaishi kwa wasiwasi, maana wanajua zile ni kwa matumizi binafsi tu”

nikawa kama nimetulia kidogo, “Ina maana huna mpango wa kuzisambaza hizo picha?”, Dani aliniangalia direct machoni, kisha akasema, “sikia Neema, nnachotaka ni wewe kutimiza ahadi yako tu, ukitimiza basi, wala hautakaa usikie kutoka kwangu tena, utaendelea kuwa dada yangu, si ndo unavyotaka….. dada?”. Nilishusha pumzi. Nikaanza kuwaza kuhusu alichosema, nikamvulie chupi anile tena, yani nikampanulie miguu kabisa aingie, nikiwa nimemuacha my Tom home, no way. Lakini nisipompa, si ndo hata huyo Tom itabidi nimsahau, na sio Tom tu, damage itakayotokea ni kuanzia kazini, kwa wazazi wangu, kiufupi ntapoteza kila kitu ninachokipenda. Akili ikawa imeshakubali kuwa kuvua chupi ndo the only best option hapa.

“Neema najua its not easy kwako, believe me, hata kwangu ilikua ngumu kuchukua hii njia nliyotumia, lakini ni kwa sababu ya ulivyofanya nijisikie, siku ile umenipa ww mwenyewe nadhani unajua hukunipa vya kutosha, uliniacha na kiu ambayo hadi leo inanisumbua” aliongea huku anapeleka mkono na kuushika mkono wangu. Sikua na nguvu ya kuutoa. Kisha akaendelea kuzungumza, “sio lazima iwe kule mianzini, hata hapa kama uko sawa tuchukue room tumalizane, ……. Sawa Neema?” aliuliza kwa sauti ya chini. Nikaanza kulia tena, akarudia kuuliza kama niko tayari, nikaitikia tu kwa kichwa, sasa ningefanyaje. Akadai hana hela, nikachomoa laki mbili nikampa, akanyanyuka akaenda kuchukua room.

Baada ya dkk 15, akanitumia msg kuniambia room aliyopo. Ingawa akili ishakubali bt nikahisi tumbo kama linakata. Nikajikaza nikanyanyuka kwenda. Kuingia room, nikakuta keshalala bed, nikafunga mlango, nikasimama sijui hata nianzie wapi. Akasimama kunifuata, akanikumbatia. Mikono kama nlivyohisi akaipeleka kwenye matako. Ndo kilichotufikisha hapa najua, ningekua wa kawaida wala asingehangaika. Akataka aanze kunikiss, nikakwepesha mdomo. Hakujali, akaanza kunikiss sehem mbalimbali za uso wangu. Then mikono yake ikawa inalipandisha dera nililovaa, sikua na namna zaidi ya kumruhusu alitoe. Ile kubaki na chupi tu kukamfanya apagawe zaidi. Akanishika mkono akanivuta hadi kwenye dirisha ambalo lilikua linaangalia upande wa swimming pool.

Akanishikisha mikono kwenye ukingo wa dirisha, kiuno akakivuta kwa nyuma kama hatua moja, miguu akaiachanisha ile mguu pande. Then akaniacha kwenye hilo pozi, akarudi nyuma kuvua nguo zake, sikua na hamu hata ya kumuangalia. Nikawa naangalia nje ambako kuna watu walikua wanaogelea. Baadae nikasikia mikono ikifungua bra mgongoni, ilivyotoka, akawa anaminya minya maziwa yangu, yani nlivo dhaifu, eti nikaanza kusikia raha, ila sikutaka kumuonesha. Baadae akanivua chupi, tena nlinyanyua kabisa mguu ili aitoe yote. Then nikahisi joto la msumari wake ukipapasa msitari wa ikweta. Yani miili yetu ilivyo, eti K ikaanza kuloa, jamani, si dani ataona kama nimeinjoi hii kitu. Mbona inanisaliti hii K, na zaidi ya yote inamsaliti Tom. Dani hakusubiri sana, akafanya kama Zuchu anavyosemaga akilambisha watu sukari, ‘dambua dambua, we dambua.. jifanye kama unafua…. kiguru nyanyua’, mguu wangu mmoja akaupandisha akauegemeza juu ya kimeza pale room, nafasi ileeeeeeeeeeeee akapitisha mashine. Sikutaka kuonesha tu, bt nliskia utam, ila sikugeuka hata, nikaendelea kuangalia tu outside, huku jamaa anashughurika. Kama kawaida, sidhani kama alidumu dakika tatu, akamaliza.

Alivomaliza, nikachukua chupi yangu nikavaa. Nikafuata dera pia nikavaa, sikutaka hata kuoga. Ile nataka kutoka nikasikia, “you are not leaving, are you?”, nikamuangalia kwa mshangao uliochanganyika na uoga. “usifanye makosa uliyofanya that day, hakikisha nimetosheka plz”, …. “Dani please, usinifanyie hivyo”. “Neema, sio kwamba nakupa new demands, wewe kaoge, then tupige vingine viwili ndo uende, sawa dada”. Sikua na namna, nikaingia bathroom, nikaoga, nikarudi room uchi wa mnyama, ready for the second round. Dani aliniinjoi kama alivyo sema. Three times. Tumemaliza round ya tatu jioni saa moja hivi. Nikamuuliza kama tumemalizana akasema yeah we are good. “basi delete hizo picha mbele yangu”, akaniangalia pale akiwa anavaa suruali yake, then akasema, “nlikwambia hizo picha ni kwa matumizi binafsi, nlichokuahidi ni kuwa zitabaki private kwangu, ukitaka nizifute inabidi ulipie”, “dah jamani dani, si nimekupa unachotaka lakini, plz kama kuna hata chembe ya huruma kwenye moyo wako, nisaidie kwa hilo, futa picha plz”, “sio tulivyokubaliana Neema”, “okay Dani, sh ngapi unataka, chukua hizo laki nane hapo kwenye pochi”, dani alicheka kishenzi, kisha akasema, “ningekua nataka hela ningesema, malipo ni kunipa tena Neema, yes, ukitaka nifute picha malipo yake ni goli tisa nizimwagie mwilini mwako”

Nilichoka ndugu msomaji. Akili ikaniambia Dani ni reasonable man, anachosema anamaanisha, so tukaanza kunegotiate bei. “Okay dani, nataka hizo picha zifutwe, bt goli tisa is too much, tufanye tatu kama leo”, Dani akafikiria kwa muda, akasema “tufanye sita basi”, “Dani plz nakuomba, najua unaona ni namna gani niko radhi kukubaliana na wewe ingawa sio rahisi kwangu, naomba please, tukubaliane goli nne, ntajitahidi” yaani hata siamini leo mimi Neema na negotiate malipo ya uchi kwa bei ya goli. “Sawa dada Neema, goli nne, bt on two different days”, akamaliza kuvaa na kutoka room.

Mpaka hapa nnavyowasimulia nikiwa sebuleni kwa mdogo wangu nlishamlipa goli mbili, bado ananidai mbili. Kweli K ni sarafu, tena ya thamani Zaidi ya shilingi. Kitu gani kwani K ishashindwa kununua, simu kali? Vacation Hawaii? gari?, nyumba?, nini hii sarafu ishashindwa nunua? hakuna, hakuna. K inanua hadi mapenzi……. Hapana chezea aisee, tena sio mapenzi tu, ndoa ndugu msomaji, K inaeza nunua ndoa hakyanani.
****************************************************

Hello guys, naitwa Doi, ndivyo anavyoniita dada yangu, bt kwenye vyeti naitwa Rehema. Like everyone else, I love myself. I love good things. Lakini Zaidi ya yote I love my family and I love my country. My sister has this idea kuwa eti simpendi, yani mimi kabisa? Eti simpendi Ney? Kwa hakika hakuna binadam nnayempenda Zaidi ya dada yangu. Yes I love my man pia, sorry my men hahaha, bt I do love my sis.

Ingawa dada yangu Neema kaongea mengi kunihusu, na kuonesha kwa namna moja ama nyingine mm ndo hua namkatili furaha yake, the truth is kila ninachofanya na kuonekana kibaya kwake mara nyingi inakua ni kwa ajili yake mwenyewe. To protect her. To lead her. Neema ndo mkubwa kwangu, atleast for some few hours. Ila since tukiwa wadogo dada yangu huyu alinitegemea sana katika kumprotect. Neema is so fragile, yani yuko soft mbaya. Sio tu kimwili, ila hata kihisia. Sio mtu wa kuhimili maumivu yale makali ya kihisia. Hivyo tangu tunakua nlishajua kuwa ni jukumu langu kama Rehema kuhakikisha namlinda dada yangu.

Chukulia mfano issue ya Goddy. Ni kweli Neema anampenda sana G. sana yani. Since tukiwa bado watoto. Na kiukweli mi sikua hata na mpango wa kuwa na Goddy. Well, sio kuwa the man is not attractive, hapana, ila moyo wangu haukua kabisa kwake. And I was happy kwa Ney kuwa nae. Ndo maana siku ile nikahakikisha nawaunganisha ili waanzishe mahusiano. Kama mmefuatilia vizuri ndugu wasomaji, bila mimi asingeliwa na G that day.

Na hata mkijiuliza ndugu zangu, hivi kweli ningewezaje injoi kumpindua dada yangu? Yani niinjoi kabisaaaa kuliwa na mtu ambaye katoka kumla dada yangu, tena sio kumla tu, kumbikiri…. No way, lazma kulikua na sababu iliyofanya mimi nitoe sadaka furaha yangu, niwe na G, mwanaume ambaye sikumpenda kiviiiile, ili tu kumprotect my sister. Iko hivi. The day after Ney kaliwa na G, yani asbh yake tu wakati Ney anaugulia ndani kwa maumivu na aibu, nikiwa nje nafanya usafi, usawa wa dirisha la Goddy, nikamsikia akiongea na simu. Maongezi yake ndo yalisababisha nimuonee huruma dada yangu. Goddy alikua anapiga stori na jamaa zake kuhusu kula tunda la mtoto wa mchungaji. Yani alivokua anaongea inaonesha kabisa hakua na mpango wa kufanya mahusiano ya kudumu na Ney.

Pili namna alivokua anaongea na hao washkaji zake, ilionesha kabisa ni mtu ambaye anachukulia position ya baba yake kama credit ya kujiona yuko juu ya wenzake. Maana alikua sometimes anawapa maagizo ya kumfanyia somethings za huko chuo anakosoma, tena sio kuwaomba, anawaagiza kama chawa wake vile. Nikajua kabisa hapa Neema hata akiwa na huyu ataumizwa kila siku. Na cha mwisho kilichofanya hadi niache kufanya usafi nirudi room na kulala ni sentensi yake moja iliyoonesha anademu mwingine chuo.

Ndipo nilipochukua maamuzi ya kumuondoa Neema kwenye equation ili nideal naye mwenyewe. Nlijua nikimwambia Neema kuwa jamaa ni bazazi na hakufai, asingekubali, maana she really loved him. So the only way ni kumvunja moyo wake now ili kuuokoa na maumivu makubwa Zaidi baadae. Nikafanya niliyofanya nikamdanganya G kuwa mi ndo alinila the other day, tukaendelea kulana. Lengo ilikua nimtumie akinogewa nimpige chini. Ila kadri nlivyokua nae na hasa nlipoenda chuo, nligundua mambo yangu yatafanikiwa Zaidi kama nikimmiliki mojakwamoja. Uzuri mi moyo wangu mgumu, so hata akini cheat sitajali sana wala kuumia kama ambavyo angeumia Neema. So nikafanya juu chini kwanza Goddy ampige chini demu wake wa siku nyingi, visa tu vya kawaida ambavyo sina muda wa kuwasimulia now, bt ndani ya miezi sita nikawa ndo the only girl kwake. Of course alikua na vi chicks kadhaa badae, bt I was sure mie ndo the main chick. Kingine kilichonipa Amani ni kuwa, mi pia nina main boy wangu. Yani ingawa nlikua radhi Goddy anioe, bt moyo wangu alikua nao Kanali.

Hiyo ni incidence moja tu inayoonesha namna nlivyojitoa ili kumsave ndugu yangu. Nyingine ni shuleni. Pamoja na kubeba adhabu kibao za Neema ambazo nyingine wala hajui kuwa nilizibeba kwa niaba yake, kuna situations nyingine kibao nlijitoa kwa ajili yake. Moja ambayo naikumbuka ni kwa mwalimu Kitepa. Neema hakua mzuri sana kwenye masomo, yani uwezo wake ni wa wastani, hasa kwenye somo la hesabu. Shule tuliyokua tunasoma ni boarding, na ilikua iko very strict kuhusu suala la wastani. Yani ili uvuke kuingia darasa lingine ilibidi upate wastani wa kuanzia 55 na kuendelea.

Kwa kuwa mimi nlikua niko fresh class, yani namba one darasani, kazi yangu ilikua kuhakikisha mimi na Neema tunaendelea kuwepo shule moja. So muda mwingi nlikua nautumia kumuelekeza mwenzangu kwenye masomo mbali mbali. So kuanzia form one hadi three tulikua tunajitahidi anapata huo wastani. Ila pale form three ndo hali ikawa inaenda kuwa mbaya. Ilipaswa avuke hapa tu ili aingie form four tumalize wote. Ile November baada ya mitihani yote kufanywa na kurudishiwa karatasi za mitihani yote isipokua hisabati, wastani ukawa 55 kamili. Kwa maana nyingine, akirudishiwa mtihani wa hisabati na akawa amepata marks chini ya 55, itakua imekula kwetu.

Siku hiyo nimerelax zangu bwenini, nikashangaa Neema anakuja huku Analia. Kwa kuwa mi nlikua nalala kitanda cha juu yeye chini, ilibidi nishuke nimuulize kulikoni dada yangu. Ndo akanionesha karatasi ya mtihani wa hesabu, 49. Nliishiwa pozi ndugu msomaji. I felt sad and disappointed. Nlimuwazia dada yangu namna anavyofeel sasa, kuwa itabidi afukuzwe shule, akasome shule nyingine tofauti na hii, tena peke yake. Nani atakaye mtake care akipata shida?. Then nikamfikiria baba na namna anavyotutegemea tufanye poa kwenye masomo. Kufeli kwa mwanae kutampa sonona moyoni.

Nikachukua ile karatasi. Nikaikagua kwa kuhesabu upya kuona kama mwalimu alikosea kuhesabu. Mwalimu ni kweli alifanya makosa kuhesabu, lakini alikosea kwa kuongeza marks, yani Neema alikua amepata 48 na sio 49. Nikacheki kama kuna swali kakoseshwa, nikaona pia hakuna makosa. Wakati huo wote Neema ananiangalia lile jicho la matumaini. Nlivyohakikisha karatasi iko sawa kila kitu, nkamuangalia Neema. Ile sura yake na namna alivoonesha kukata tamaa, nikasikia umivu moja kali sana moyoni. “Kuna maswali hajakusahisha vizuri”. Nikaamua kumdanganya. Nikaona anapata matumaini.

Akachukua karatasi ili aende kwa mwalimu wa hesabu, Mr Kitepa. Nikamzuia. “sikia Ney, itakua ngumu kumuelewasha ukienda wewe, nipe hiyo karatasi mi ndo nimfate”. Akiwa bado anajiuliza, nikampokonya, nikaikunja nikaiweka kwenye mfuko wa shamba dress yangu iliyokua pembeni juu ya kitanda changu. Then nikafungua locker la Neema nikachukua shamba dress yake (ambayo ili kutofautisha mi na yeye walimu walisema nguo zetu tuziwekee alama ya majina yetu, yani N kwa neema na R kwa rehema, begani). Wakati huo Neema ananiangalia, nikavua pensi langu la kulalia na tshirt nliyokua nmevaa, then nikatupia ile shamba dress ya Neema.

Bahati nzuri Mr. Kitepa alikua zamu wiki ile, ambayo ndo ilikua wiki ya kufunga shule tuondoke zetu. So ingawa ilikua jioni ya saa 11 lakini alikua bado yupo ofisini. Nilifurahi kukuta yupo peke yake, walau naeza muomba akatusaidia. Basi nikaanza kwa kumsalimia, alivoitikia nikavuta kiti nikakaa. “Sir, nimefeli hesabu”
“So unataka nifanye nini kama umefeli?”, alijibu huku akiendelea kujaza marks kwenye computer yake.
“Sir, nimepata 49, lakini unajua kuwa nimefanya jitihada kubwa mno kufaulu tangu nikiwa form one, nisipofaulu hili somo nafukuzwa shule sir, please nisaidie, my parents will kill me”

“Sikia binti, ulitakiwa uwaze hayo wakati wa kujiandaa, mbona mwenzio amefaulu? Hii inaonesha ni uzembe tu. Kama huna lingine nipishe natakiwa niwakilishe hizi marks kesho kwa ofisi ya mtaaluma”.
Nikawa nimekata tamaa. Hapa hakuna msaada. Ikabidi sasa niingize gia ya pili.

“Sir, I know ni ngumu kwenda kinyume na maadili yako ya kazi, ila najua unajua baba yangu mdogo Mr Mushi ni kiongozi mkubwa kwenye chama na serikali, nakuapia ukitusaidia hili ntahakikisha anakusaidia kukuconnect ktk chama kama uko interested, if not basi serikalini, hata wizarani ukitaka”
Mr Kitepa akaacha kufanya anachofanya akaniangalia kwa muda mrefu.

“So kumsaidia dada yako uko radhi kutoa rushwa?”. Nikabaki namshangaa kajuaje mimi sio Neema.
“Neema ninavyomjua hana ujasiri wala akili ya kufikiria ulivyofikiria, so you must be mdogo wake”
“Sir, haina umuhimu kwa sasa. Fikiria kwa umri huo ukiwa na connection ya waziri”
“ntajuaje kama kweli unayosema” aliuliza mwalimu.

Nikamuomba simu yake, alivyonipa nikaingiza namba za Mr Mushi ambazo nlikua nazo kichwani. Namba za mzee Mushi nlikua nazo maana yeye ndo aliyetuleta shuleni na kutukabidhi kwa mkuu wa shule kama wanae. Lakini pia alitupatia namba yake ili kama tukipata shida tumpigie yeye kwa kuwa alikua ndo mbunge wa jimbo hili ambako shule yetu ipo, so tunaeza saidika kwa urahisi na ukaribu Zaidi hata kama sio yeye direct bt kupitia connections zake kwenye huu mji.

Simu ilipoita na kupokelewa nikaweka loud speaker ili mwalimu asikie. [Nani mwenzangu?] ilisikika sauti ya mzee Mushi live and clear. Mr Kitepa akawa mdomo wazi, haamini kama naeza kuwa na direct connection na waziri wa mambo ya ndani ya nchi. “Shikamoo ba’mdogo, mi Rehema Kingu”, [ooooh, vipi mwanangu, masomo yanaendeje? Mmesharudi likizo?] “hapana Ba’mdogo tupo shuleni bado”, [vipi kuna shida yoyote?], “Hapana ba’mdogo, kuna huyu mwalimu wa hesabu alikua anashida ya kupata kazi wizarani, ametusaidia sana kwa kweli mpaka tumefaulu wote wawili, nikasema kama unaweza pia ukamsaidia ba’mdogo”, [Ahaa, haina shida, mkiwa likizo mumlete ofisini kwangu tuongee anataka nini hasa, mambo madogo sana hayo, na nafurahi amekua msaada kwenu wanangu].

Hivyo tu yani. Baada ya kumaliza kuongea na simu na kuagana na mzee Mushi, nikahakikisha nafuta call logs zote zenye hiyo namba ili asije nizunguka akajiconnect na mzee alaf asisaidie. Mr Kitepa alibaki kinywa wazi kwa muda. Alipo kaa sawa tena akawa keshalainika. “ dah, siamini kama life inaeza kua rahisi namna hii”. “Ni wewe tu ticha, karatasi hii hapa ya Neema, anahitaji 55 tu, then unaondoka maisha ya chaki na kuhamia kwenye kiyoyozi”, nliongea huku natabasam. Then nikanyanyuka ili nitoke ofisini kwake.

Ile nafika mlangoni, kabla sijafungua mlango nitoke nikamsikia mwalimu ananisemesha, kugeuka namkuta kasimama ananiangalia, hasa kiunoni. Yani wanaume, dah. Nikajua tu wakati natoka shape langu ingawa ndani ya shamba dress lilijichora na kumpa wild thoughts mwl. Na niseme tu wazi, huyu ticha anajulikana anapenda sana down.

“Sikia Rehema, ntamsaidia dada yako”, alisema haya huku ananifuata pale mlangoni. “But nifikirie pia na mimi eeh”, alikua keshanifikia, amenisogelea kabisa, anapapasa hips huku anaipandisha hiii dress slowly. “skia sir, si nimekuhakikishia ajira wizarani lakini,…” nliongea huku najitahidi kumsukuma aniachie. Yeye ndo kwanza anapapasa ngozi za paja. “sawa, ila huu utam naomba hata kidogo tu mama”, alionesha keshadhamiria kunila.

Of course ningeweza kataa, bt nilikua radhi kufanya chochote kwa ajili ya Neema. “Sir tutakutwa …”, “Usiogope, hakuna anaekuja hapa now”, aliongea huku anaivuta chupi kwa chini, then akaninyanyua mguu mmoja akawa kama kaubeba, akamtoa babu, akapenya.
Nlichofanya nlihakikisha hamalizii ndani, na nlifanikiwa. “kesho utakuja tena mtoto mzuri?”, nlimuangalia nikatabasamu, lile tabasamu la kebehi, nikachukua pichu yangu hapo chini nikavaa.

“Nop” nlijibu huku naweka gauni sawa. Nikasogea pale mezani kwenye ile karatasi ya Rehema, nikaisogeza mbele ya komputa yake, “55…” nlimkumbusha huku naipoint ile karatasi. “Okay okay, bt si ahadi yako ya kunikutanisha na waziri bado ipo, si ndio?”. “You made your choice already sir, ulipewa chaguo la maisha bora, ukachagua uchi……….. 55..”. nliongea huku nafungua mlango na kutoka. Kweli K ni sarafu, tena inanguvu Zaidi ya dola ya Biden.

Kati ya vitu ninavoonaga nimejitoa sana kwa Ney ni hicho. I was fuc*ed to save her. And she doesn’t know ile marks alifikishaje mpaka leo. Yeye anaamini ni kweli kuna maswali yalikoseshwa kimakosa. Bt ndo msalaba wangu. Will always take care of her.

Mwanzo nimewaeleza kuwa najipenda pia, hivyo sidhani kama itatosha kuwaambia tu kuhusu situation nilizotumika kwa ajili ya dada yangu. I love someone pia. Ndiyo, nampenda Goddy, lakini kuna mwanaume ambaye ndo tuseme kaumiliki moyo wangu. Jina lake sio vizuri kulitaja hapa, ila ngoja tumwite Kanali, maana ni mjeda na ndicho cheo alichonacho kwa sasa ninavyowasimulia.

Naamini duniani kuna wanaume wa aina mbili kubwa. Kuna ambao mi huwaita ‘hard’ lakini kuna ambao ni soft. Mwanaume kama Paulo wa nchi jirani, au mbunge wangu msukuma, wale ni hard people. Yaani wagumu. Sio kwa life style, la hasha, viungo vyao ni vigumu. Ukigongana nao ugoko hawa watu unaeza enda kufanyiwa upasuaji MOI. My man Kanali ni hard man. Mgumu kwelikweli, yani siku amevaa pensi mbele yangu nilicheka live, ile miguu yake ni kama vipande vya mti, tena mti wenyewe mninga, very hard. Hawa soft men ndo kama Goddy my husband. Don’t get me wrong, sio lazima wawe wanene na vitambi, hapana, wako soft tu. Akivaa pensi unaona kabisa kuna nyama kwenye miguu, na mng’ao wa usoft.

The first time namuona kanali was at school. Kwa wale mnaojua kitu kinaitwa the butterfly effect, hii situation ni ushahidi wa hiyo theory. Yani kitu kidogo kinaeza tokea mbali huko, ila kikasababisha effect moja kubwa sana mahala pengine. Ni hivi, ilikua ni graduation ya dada zetu wa form six. Siku hiyo shughuri nzima ilianzia kanisani kama ilivyo kawaida ya shule yetu. Tukiwa church nikawa na emergence, kama mnavyojua kwetu wadada, so nikamfuata matron nikamwambia shida yangu akanipa ruhusa ya kwenda bwenini kubadili pedi. Bwenini nlivofika nikamuona binti ambaye kalala, shida yake baada ya kumhoji ni kua anaumwa tumbo ile mbaya. Nikampa pole pale, mi nlivojiweka sawa nikawa narudi zangu church, yule binti mgonjwa akaniomba nisipojali nimsaidie kutekeleza majukumu yake ya kupokea wageni siku hiyo maana ni wazi asingeweza tena.

Mnaona eeh, yani kuanza kwangu bleed siku hiyo, kukasababisha nirudi bwenini ambako nikakutana na huyu mgonjwa, na ndo sababu ya mm kukutana na Kanali. Nikiwa nipo getini napokea na kuelekeza wageni maeneo ya kukaa, ndo nikamuona Kanali. Alikuja na bodaboda, kilichonivutia kwake ni zile combat za jeshi alizokua amevaa. Tulikua mabinti kama wanne kwenye mapokezi pale getini ila nilihakikisha mm ndo nampokea Kanali. Sikua hata na mawazo mabaya, nlimsalimia kwa adabu then nikamwambia anifuate nimuoneshe mahali wageni wa wahitimu wanapokaa. Nilipomfikisha kwenye nafasi yake nikamuacha then mi nikarudi zangu getini.

Baada ya muda si nikamuona tena Kanali anakuja upande nliopo. Kufika ananiuliza kama kuna duka lolote anaweza pata mahitaji madogomadogo. Ingawa hakusema ni mahitaji gani, nikamwambia anifuate nimpeleke duka la shule. Alivyofika akanunua coca cola ndogo hizi, mbili, moja akanipatia mimi. Hua sipendi coca bt sikuona kama ni busara kukataa. Kimsingi hata sikutakiwa kuendelea kuwepo hadi anunue anachotaka, kazi yangu ilikua kumuonesha duka lilipo then nisepe. Kilichoniweka pale nlikua na maswali nataka nimuulize.

Kanali aliponipatia soda, akaanza kuniuliza vimaswali vya kawaida, unaitwa nani? Unatoka wapi? Uko kidato cha ngapi? Masomo gani unapenda na maswali ya kufanana na hayo. Nikawa namjibu fresh tu, huku tukitembea kuelekea upande ambako magali yameegeshwa. Tulivyofika maegesho ya magali, akatafuta sehemu kuna mahali unaeza kaa, akakaa. Ndo nikapata muda kumuuliza pia, jina? Yuko pale kwa sherehe ya mhitimu gani nk. Kwa mujibu wa maelezo yake, mdogo wake anahitimu siku hiyo. Of course alivyonitajia jina la mdogo wake nilimtambua fresh tu. Huyo ambae anasema ni mdogo wake ni kama dada yangu wa shule, anaitwa Leyla. Na kwa namna nlivyo karibu na Leyla, ninajua kwao amezaliwa peke yake, hana dada wala kaka. Na kimsingi nikatambua Kanali ni boyfriend wake Leyla. Maana da Leyla ashaniambia anaboy wake mjeda. Why he lied, sikujua hata.

Baada ya maongezi ya hapa na pale ndo nikamuuliza nlichotaka kujua. Napenda sana wanajeshi. Hata Goddy mume wangu alivyomaliza chuo nlimwambie akajiunge jeshi. So napenda kwa kweli. So Kanali nikamuuliza namna ya kujiunga na vitu ka hizo. Alichofanya akanipa namba, yani eti nikimaliza shule na kama bado nina tamani kwenda jeshini nimtafute.

Kwani nlisubiri hadi nimalize shule. Kimsingi baada tu ya sherehe ya graduation nlimtafuta Kanali. Tukawa tunachat sana tu. No one knew, sio dada yangu Neema wala sio Leyla. Nlijua kabisa hii itaitwa Coup de etat, lakin nikajifanya sijui mahusiano ya kanali na Leyla. Likizo ndogo ya pasaka nikamwambia kanali kama vipi niende kwake. Hakua na pingamizi. Bt nisingeweza kuondoka bila kumwambia Neema ukweli. So nikamweleza naenda kwa Kanali, Neema sio mtu wa kunipinga, alijua kama nimechukua huo uamuzi basi nimeshajihakikishia usalama wangu. Akaahidi kutotoboa siri home.

Ingekua sio kwaresma ningewahadithia kilichotokea kwa kanali. Itoshe tu kuwaambia Kanali ndo alikua mwanaume wangu wa kwanza. Ile wiki niliexperience kila kitu kwenye mapenzi. Kanali alionesha kunipenda, alionesha kuinjoi anaponitia, alionesha kunijali pia. Ila pia kanali ni mtu wa hasira. Si mnajua wakurya walivyo. Kosa dogo tu vibao vya kufa mtu. Sikutarajia hata siku moja ntakuja kupigwa maishani, ila kwa kanali nlizoea mbona. Na alivyo mgumu akikuzaba kibao ni kama umegongwa na treni. Nakumbuka kuna siku pale kambini anapokaa aliniambia nisiwe natoka, sasa kwa jeuri yangu nikaenda kuzurura kwa jirani ambaye alikua binti pia. Ile narudi, nilichezea kichapo cha hatari. Manundu mwili mzima. Ila hasira zake zikiisha, anavyobembeleza ni Zaidi ya ambavyo nimewahi bembelezwa, nikiwa na maumivu najikuta natoa msamaha na tunda juu. Tena namkatia haswaaaaaaa.

Huyo ndo kanali bana. Gaidi ila anajua namna ya kuni handle. Mi na yeye hatuezi achana. Alikuja kumuoa Leyla, mi pia nimeolewa na Goddy, ila kila mara tunakutana Arusha, tunakulana, tunagombana, tunakulana tena. Yan mahusiano yetu ni its complicated. Sema nimemsaidia sana. Hizo nafasi za kusoma hadi kufika ukanali, mm ndo nimefanaya juhudi akazipata. Uzuri analijua hilo. Maisha ndo hayahaya, nimeamua kuyainjoi na wanaume wangu, Goddy na usoft wake nainjoi kwake ile romance, yani hadi anaingia unakua ushajimalizia. Kwa Kanali romance sio sana hata, ila hiyo mashine yake baba, akiingia ni nomaaaaaaaaaaaaaa.

Wasalaam

Kiga
 
Asante, ila usijetuacha njiani kama lara 1

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Dah, Goddy ni mmoja kati ya wanaume wenye bahati sana duniani, amekula kote afu wanaogopa kumwambia, mamaeee.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Episode 8
Chako changu, changu changu.
********************************************
I removed my shoes, nikapandisha miguu kwenye sofa, nikajinyoosha ili nipumzike kwa dakika kadhaa. Mawazo juu ya mzee wangu na namna ya kumlindia hadhi yake kwa miezi hii yakawa bado yanasumbua akili yangu. Honestly speaking, kwangu mm shida ilikua kwa bazazi Dani tu, yani siku akijua namna anavyoweza vuruga familia yangu, nadhani ataomba tigo kabisa. Pamoja na makandokando yangu, bado waswas wangu mkubwa zaidi ulikua kwa Doi, kama amefikia kuliwa na askari anayewalinda, huko nje katoa kwa kiwango gani.

Sikujua usingizi ulinipitia saa ngapi. Nimekuja stuka ni usiku sana, ingawa sikuangalia saa, ila nlihisi ni past midnight. Nikajinyanyua pale kwenye kochi nikaenda chumbani. Lengo langu niende chumba cha wageni kilichokua mwanzo wa korido ya kwenda vyumbani, bt kuuona mlango wa master bedroom kukanifanya niingiwe na shauku ya kupaona. Nikausogelea mlango wa chumba anacholala mdogo wangu na mmewe, sikuwa na uhakika kama kitakua wazi, ila nikashika kitasa na kunyonga, ukafunguka.

It was a magnificent room. Big na expensive. Nikisema expensive namaanisha kila nlichokiona mle ndani was expensive, the wardrobe, curtains, dressing table, chandelier, zuria na kilichovutia zaidi ni kitanda. It was a massive bed, sjui ndo king-size wanaita, nikakisogelea kitanda na kubonyeza godoro, aisee ni kama limetengenezwa kwa manyoya laini, lilikua very soft. Nikasema lazma nilalie hiki kitanda aisee. Bt nisingeweza kukilalia tu hivihivi na mijasho na harufu zangu, ikabidi nikaoge kwanza.

Sikua na nguo za kubadilisha, so nlipomaliza kuoga na kufua kufuli kwa ajili ya kulivaa tena kesho, nikafungua kabati lao na kutafuta nguo ya kulalia. Doi anajipenda aisee. Yaani kila nlichogusa ilikua ni brand. Luis Vuitton, Versace, yaani vitu expensive, designer mazafakaz yani. Nikachagua night dress moja fupi made by Channel, jamani expensive ni expensive tu, nlivoivaa na kujicheki kwenye kioo it was perfect. Tusidanganyane jamani, expensive shits make one look more attractive, nlivotupia hii kitu ya designer ndo nikakumbuka namna gani nlivyo mzuri. Walionila wamefaidi aisee. Goddy, Dani1, Dani2, and Tom …. Heshima kwenu, mmekula pisi kali mazee.

Nimekuja kuamka saa tatu asbh. Safari yangu inaanza saa tisa jioni na ntaingia Arusha jioni sana maana inapitia ZnZ kwanza. Mipango yangu ni kumuwahi Tom ambaye amesema atanipitia home saa mbili usiku. So far the plan ilikua inaenda sawa tu. Nikaamka bed straight bafuni, mipango yangu mida ya saa sita nisepe maana foleni hizi nisije chelewa ndege. Baada ya kuoga nikacheki kufuli nikakuta limekauka ila nikaona nilipe tena muda lipigwe upepo, so nikatinga the same night dress, yes, I was chupiless bt am alone na kuna askari nje, so am safe. nikaenda jikoni kujiandalia breakfast.

Earphones masikioni, full mziki nainjoi huku nakausha slices za mkate na kuandaa mayai. Naimba na kucheza mwenyewe hahahaha,

“….You take my self, you take my self control
You got me livin' only for the night
Before the morning comes, the story's told
You take my self, you take my self control
Another night, another day goes by
I never stop myself to wonder why
You help me to forget to play my role
You take my self, you take my self control…..”

bonge la reggae remix ya wimbo wa Laura Branagan, yaani nlikua naimba hiyo chorus utafikiri ndo mi nliye utunga, full kuzungusha kichwa, kuruka na kumove, mara kiuno nikipeleke huku, mara mikono niirushe juu, mara nijaribu kucheza kimichael jackson, yani ungeniona ungehisi sio mimi yule church girl hahahahaha, mwiko nliokua nautumia kugeuzia mayai ndo eti nliufanya kama microphone, I was in my own world, kwa muda nikasahau masahibu ya maisha. Baana ya muda nikahisi kama kuna mtu ananitizama vile nyuma yangu, moyo ukaanza kwenda mbio, kugeuka nakutana uso kwa uso na Goddy. Kidogo nizimie ndugu msomaji,

Goddy alikua amesimama ameegemea frame ya mlango wa jikoni, looking handsome as ever, almost beautiful. Tabasam lake likafanya kwa muda nisahau niko wapi. Nikawa kimya, mdomo wazi kama nimefumaniwa naiba nyama jikoni, ‘Hey babe…’ Salam yake ikanirudisha kwenye uhalisia. Kabla sijamwambia mi sio mkewe, akaendelea..

‘Sorry nmerudi bila taarifa, ila siku tatu hizi nimekumiss kinoma… nmefurahi kukuona mke wangu…” kwa kweli nlibaki nimezubaa. Doi alinambia wamesafiri na mmewe, inakuaje Goddy anasema amefurahi kumuona. ‘naenda kuoga then napumzika babe, I am very tired, masaa 12 sio mchezo angani, then nikiamka unambie why uliamua kupunguza nywele zako', Goddy alisema huku akinisogelea kwa tabasam na kunikiss shavuni “and I like your moves babe hahahaha” allisema huku akisepa room na kicheko juu. Akaniacha full aibu nilipokua, eti cha kwanza kuficha ni sura. Nikasahau kwa nlivokua nmevaa, Goddy kaona kila kitu huko ndani kmmk.

Nimekuja kushtushwa kutoka kupigwa butwaa na moshi uliokua unatoka kwenye kikaangio, kucheki mayai yashaungua…… baada ya kuzima gesi, maswali yakawa yanapita mfululizo kichwani, sikuweza kutulia na swali moja nikalitafutia jibu, chupilessness, dance moves, sauti mbaya nikiimba, where is Doi, ughafla wa ujio wake, so many questions. Lakini the biggest surprise ikawa kunichanganya na mkewe, ina maana kweli hajaweza kabisa tofautisha mimi na mkewe? Miaka yote hii hawezi tambua mkewe kweli? Na zaidi ya yote, where is Doi? Kwa stori za Goddy kuhusu safari ya masaa mengi kwenye ndege ni wazi hakua na mkewe huko alikokua, kwa maana hiyo, Doi alinidanganya, she is somewhere ndani ya nchi na hayupo na mumewe. So alikua anatiwa na nani wakati nampigia simu…? Dah ila Doi jamani, mbona makubwa haya.

Akili nlokua nayo ni kusepa fasta from this house. Kama JC alivyosemaga, acha wafu wazike wafu wao. Nikasogelea mlango wa chumba chao, nikatega sikio kusikilizia kama Goddy atakua yupo bafuni au kalala, sikuweza sikia kitu, ikabidi nipige moyo konde, nifungue tu, nitakachokutana nacho ntakikabili…….. nikafungua mlango very slowly, yani kama mwizi vile, yani mlango ulivyo hauna adabu, ukapiga kelele kama zote yani, hadi nikashangaa maana jana mbona haukua na kelele…

“is that you sweetie…..?” sauti ilitokea bafuni huku ile sauti ya maji ya shower ikikata kuashiria Goddy aliyafunga. Mtihani, nijibu nisijibu, nikijibu inamaana ndo nimekubali mi sweetie au?, “ndiyo…” nikajibu huku nimesimama nimeganda wima kama sanamu ya askari wa pale posta, hata hilo jibu nlilotoa lilikua very formal, eti ‘ndio’, wapenzi wanajibugi hivyo kweli? Ila ningeanzaje jibu tofauti, yani nijibu ‘yeah baby’, au ‘yes sweerie’, majibu ya wapenzi waliozoeana hayopogo formal, na marachache maneno mafupi huwa ni ya kingereza, more sexier flani, nadhani mnaelewa. So jibu langu likawa kama limenipa wasiwasi jamaa bafuni atahisi kitu. Nikasikilizia kitachofata next, nikiwa tayari kwa chochote ikiwepo kutoka nduki. Nilichosikia ni bomba la shower likifunguliwa tena….. nikashusha pumzi ndefu ila kwa sauti ya chini mno.

Nikachukua nguo zangu nivae fasta, damn, chupi ipo bafuni. Anyways nikafungua tena kabati la nguo, nikachagua pantie mojawapo, nlikua na haraka jamaa asinikute hapo, kwa namna nlivo anaeza omba game aisee nikajikuta nimetoa uroda kwa mme wa mdogo wangu. Kwa uharaka nliokua nao sikuweza ona aina ya chupi nnazovaaga mm, yaani pantie zote za Doi zilikua ni zile za vimikanda vya kupita kiunoni na vijitambaa vidogo tu vya kufunika mbele, dah, sijawahi vaaga hizi aina aisee, so option nlokua nayo ni either kuvaa hizi zilizopo au nitembee bila chupi. Nikachukua moja ya pinki, of course designer pia, kitu Guia la Bruna, jina tu likanipa picha this is expensive shit, nikajisemea ntagugu badae nijue bei hahaha. Fasta nikavaa, sikua hata na muda wa kuita uber, nikatoka fasta. Kwa hatua za haraka nikawa natembea sijui hata naenda wapi, mpaka nlivofika eneo wamepaki vijana wa bodaboda, nikapanda moja kwa maelekezo anipeleka airport fasta.

Yaani nliwahi kuliko kawaida, kama kuna mtu pia anafahamu kuhusu safari yangu angehisi labda ndo mara ya kwanza napanda ndege. Nikaelekea eneo la lounge nikatafuta mahali nikakaa. That was close, nikawa najiwazia mwenyewe, nimekoma kulala kwa watu aisee, hivi angekuja usiku wa manane ingekuaje, yaani ndo anikute na kile kinight dress nimelala kitandani kwake, ningebaki salama kweli? Nikaagiza wine, nikawa nashusha taratibu……. Sikujua hata kama usingizi ulinipitia nlipokua nimekaa, nimekuja shtushwa na vibration ya simu. It was mdogo wangu Doi. Yani hata kabla sijapokea nikajua kabisa nimefanya kosa kutomwambia mmewe alivorudi akanikuta, sijui nlifanya makusudi ili wagombane na mmewe au nlisahau genuinely.

“Sis…. Uko wapi” sauti yake ilikua imejaa hofu na wasiwasi kama wote yani. Nikajua tu tayari kashawasiliana na bwana ake, na lishatibuka huko. Again sikueza jua kama nilifurahi au kuhuzunika.
“niko airport, nasubiri ndege ya saa tisa kurudi Arusha” nikamjibu huku nikiwa nachezea kucha zangu, sina hata wasiwasi mwenyewe.
“Neema, shemeji yako karudi home,….”
“Si ulikua nae jamani, au sio wewe uliye sema hivyo?”
“Sikia, sio muda wa kuangalia yaliyopita, Goddy alienda Sweden na alikua arudi jumapili, sikua nae kwenye hiyo safari na sikujua kama anafupisha safari yake, na hata hakuniambia before”
“wewe uko wapi” nlimuuliza huku napiga fundo langu la wine, this time kakamatika huyu, shenztype.
“niko Arusha……. Goddy amenipigia simu ananambia mbona nimetoka ghafla home na anauliza niko wapi, ina maana alikukuta home?”
“Yap” nlijibu nikiwa nashusha fundo lingine la wine.
Kimya kikapita cha dakika kadhaa bila yoyote kusema chochote, “sikia Neema, sijachelewa bado, ngoja nikaangalie kama ntapata ndege ya kurudi dar fasta, ntakupigia”
“Goodluck” ndo nlichomjibu na nikakata simu.

Nikawa nimerelax kiasi. Nikaendelea kuvuta muda kwa more wine na kujisomea magazeti mbalimbali. Mchana kama saa saba hivi nikakumbuka sijala chochote zaidi ya kupiga glass za wine tu. Nikajisogeza restaurant pale airport, nikaagiza chips zangu na mayai kadhaa then nikakaa. Wazo la kuhusu tofauti ya nywele zangu na za Doi ndo likanijia, yani kama akirudi kama alivyo kwa mumewe ataumbuka, na sio yeye tu, Goddy atajua kuwa it was me there this morning. Nikachukua simu nimpigie,

Doi hakua anapatikana, imagine. Yani ktk siku ambayo ndoa yake inategemea a lot of issues ili isimame kaamua kuzima simu. Ikawa inanipiss off, na nlijua kilichonisumbua zaidi ni ile kuwa Goddy atagundua aliyemuona nusu uchi leo ni mimi, f,ck…. Nikapiga tena, bado haikua hewani. Lakini hata nikimpata, Doi atakubali kukata hizo nywele zake? Au atakua radhi aseme ni mm ndo nliyekuepo home that morning? Hashindwi yule, atasingizia chochote, anaeza sema alitoka asubuhi sana maana aliitwa home au chochote tu,… hadi msosi unakuja ile appetite yote ikawa imeisha, nlikula kwa kujilazimisha sana yani.

[passengers boarding ATCL Airbus 303 to Arusha via Zanzibar, please approach desk A with your boarding pass, boarding will commence shortly] sikutaka kuonekana na haraka sana, najuaga boarding inachukuaga muda mrefu na wanatangazaga mara nyinginyingi, so nikaendelea kuchapa zangu wine pale. Simu ikaita, kucheki Doi.. nlivyopokea tu akaanza kutiririka,
“there is no plane dada yangu…….sob….sob….”, nimeishi na Rehema since when we were young, she is always strong, hajawahi kuwa kwenye situationa ambayo anakosa option mpaka alie. Nikaingiwa na huruma.
“please usilie Doi, tell me what happened? Umecheki mawakala wote kweli?.....”
“yeah sis, shida sio ticket, uwanja wa KIA kuna kama hali mbaya ya hewa so ndege haziwezi kutua wala kutoka mpaka hali itakapokaa vizuri, hapa ninapoongea nipo airport na tiketi ninayo ila ndo wanasema kila kitu kipo cancelled kwa muda usiojulikana, nifanyeje dada yangu?”

This scenario zikawa zimebadili kabisa hali ya mchezo. Kama anachosema Doi ni kweli, inamaana hata mimi sinauwezo wa kwenda Arusha kwa sasa. Bt mbona watu wanafanya boarding now. “em ngoja ntakupigia” nlimwambia Doi huku fasta nikikusanya vitu vyangu pale na kwenda kwenye desk la ATCL. Nilivofika na kuona mstari unaendela kusonga na watu wanaingia nikashusha pumzi. Nikapanga mstari, nikachukua simu nimpigie Doi. Wakati inaita nikasikia tangazo, [attention attention, all flights to KIA has been cancelled due to bad weather…. Tangazo tangazo, safari zote kuelekea uwanja wa ndege wa Kilimanjaro zimesitishwa kwa muda kutokana na hali mbaya ya hewa……. Attention …]

Nikakaa chini ndugu msomaji. Maana ya tangazo hili ni kuwa kwanza sitaweza fika Arusha kabla ya Tom, pili Tom atajua sikuwa Arusha for some days na kibaya sikumwambia kuwa sitakuepo, yani hakukua na namna ya ku go around this, hakuna namna atafika Arusha akute sipo then nimwambie uongo mwingine, I always am incapable of lying when asked directly. So inabidi nisahau kuolewa soon na Tom, yes anaeza samehe bt haez nioa soon. Which means plan ya kumpa mzee wangu kura za kuwa BG zinayeyuka hivyo. Nikiwa nimekaa pake chini nikiendelea kuwazua what this means in a larger picture, simu yangu ikawa inaita…

“mbona umepiga alafu huongei sis?...... sikia dada yangu, nakuomba sana, sina uwezo wa kufika dar leo, na Goddy asiponiona leo ndo basi tena, mdogo wako natalakiwa….. hapa nishampa sababu kibao, mara ya mwisho nimemwambia nimeenda kwa wazee bt for sure anatarajia nirudi, kukosekana kwa usafiri kunafanya option iliyobaki ni wewe ndugu yangu kurudi kwangu.”
“what do you mean Doi? Narudije kwako mimi”, yani hata kwa kusikia tu sauti yangu ungejua huyu mtu yuko emotionally exhausted.
“so unadhani ntafanyaje dada yangu?, utafurahi nikiachika? Unadhani baba atafurahi mwanae nikiachika? Please we rudi, the fact kwamba hakujua tofauti alipokuona asubuhi means hawezi kututofautisha”

Maneno yake yakanichoma kiaina, hasa alipomtaja baba. Maneno ya baba na mama kwenye kikao cha juzi yakawa yananijia kichwani, any scandal would hurt my father’s chances za kuwa BG. Kwa muda mfupi case ikawa sio ya mimi wala Tom wala Doi wala Goddy, it was about the church. Uamuzi nitakaoufanya now unaeza changia mustakabali wa kanisa, kanisa linaloaminiwa na mamilioni nchini. All this was too much for me, pale chini nlipokua nikaanza kulia. Ingawa to be fair sikujua kilichoniliza ni hilo la kanisa, au ni umalaya wa mdogo wangu au ni feelings za kukamatika kwenye situation ya kuwa nimemdanganya Tom.

Hakukua na namna nyingine. Nlichomwambia nikuwa itabidi wote tubadilishane personalities zetu, yeye awe Neema na mimi niendelea kuwa Rehema mbele ya macho ya Goddy. Tukaongea kwa kirefu kuhusu muonekano wetu. Nikamsisitiza akapunguze nywele na azitie rangi zifanane na za kwangu, then nikamueleza vitu anavyopenda Tom. Akanielekeza pia namna ya kukaa na Goddy. Mwishoni akaniambia, “thanks sis kwa hili, nakupenda dada yangu” machozi yakanilengalenga upya, maana kiukweli nampenda pia mdogo wangu, nikamjibu nampenda pia. Doi akaendelea kuongea “najua Ney, bt naomba kitu kimoja dada yangu” “Kitu gani tena Doi?” nikamuuliza, “Don’t https://jamii.app/JFUserGuide my husband………………….”.

dah, sikutegemea atafikiria hayo. Na sikua na mpango wa kuliwa na shemeji yangu hata hivyo. “Sikia Doi mm sipo hivyo unavyonidhania”, Doi akakaa kimya kwa muda then akasema “thanks, ila nakuruhusu kumkiss kama situation ikilazimu, maana ukibana kila kitu anaeza shtuka, and I promise pia sitamvulia chupi Tom, so usiwe na wasiwasi, ur man is in safe hands pia”.

Sikua na option ndugu msomaji. Nikatoka zangu airport, nikachukua taxi kurudi kwa mdogo wangu. Mawazo yalikua mchanganyiko, nikafikiria kama kweli Doi ataeza kaa na Tom na asishtukiwe. Kitu ambacho nlikua na uhakika ni kuwa Doi haez lala kitanda kimoja na Tom na asitoe K. hata kama atakua hataki, nnavyomjua Tom lazma atataka game, na kimsingi tulikubaliana weekend hii tuwe Arusha kwa ajili ya kuspend time pamoja, sasa wapenzi wanapoamua kuspend time si maana yake ni kulana? So sikua na shaka watakulana. Kitendo cha kuwaza namna mashine ya Tom inavyoniingiaga alaf ndo inaenda muingia mdogo wangu kukanifanya nisononeke sana moyoni.

Mpaka nafika home pale kwa Doi nilikua bado sijaanza kufikiria kuhusu mimi na huyu mume wa mdogo wangu. Nliamua kutokuwaza sana, bali kila situation ntakua na deal nayo kadri inavyojitokeza. Maana ningeanza kuwaza sana ningeishia kuahirisha hili zoezi. Ile nimeingia tu getini (ambalo halikua limefungwa ule mlango mdogo) nikawaona Goddy na yule mlinzi anayemlaga Doi. Wamekaa mbali kidogo na eneo la kuingilia sehemu ambayo kuna kibustani. Muonekano wao ni kuwa hawa jamaa ni washkaji pia, maana walikua wanacheza karata na kupata pombe kali huku wakionesha kufurahia wanachofanya. Yule mlinzi ndo alikua wakwanza kuniona, maana aliwave upande nliopo kunisalimia. Mi nikamchunia, Goddy akageuka kunicheki, “Babe uje uone nnavyomfundisha game huyu fala” alishout Goddy huku akicheka. Sikujibu bt nlimuonesha ishara kuwa sijisikii poa.

Sikusubiri maongezi zaidi nikaenda ndani. Doi alinambia Goddy anapenda uji wa ulezi jioni, so nlipofika ndani direct nikaenda kitchen. Nikiwa naandaa mambo nikampigia Tom pia, full kujibebisha mara nakumiss mume wangu, nimemiss your smile, I love you nyingi kinoma. Akaniambia ataingia Arusha mida tuliyokubaliana, so nijiandae atanipitia home. Shida ni funguo, nikajua kabisa anachotaka ni ngumu Doi kukifanya, so nikamkubalia tu bt nikaweka mental note kuwa baadae nimtex uongo mwingine kuwa sitakuepo so tukutane tu town. Hilo likawa settled. Baada ya uji kuwa ready nikampelekea Shemeji yangu, sikujua kama uji na pombe vinaendana au la, mi nlipeleka tu nikamtengea kwenye stuli pembeni yake. “thanks babe” alinambia Goddy huku ananiminya tako, nlishtuka bt sikutaka onesha. Nikatoa udhuru pale nikarudi ndani kuandaa cha usiku. Nikaona mbona easy tu.

Ikawa jioni, ikawa usiku. Ntawezana kweliiiii? Patakucha salama kweli, hapa Dar na huko Arusha? Ila ahadi ni ahadi, ntahakikisha Goddy hanili.

Wasalaam
Kiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…