Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,151
1. Mwanzo kabisa namwona Kanumba aki-appreciate kwa unyenyekevu mkubwa kufunguliwa mlango wa gari na mhudumu kana kwamba amemfanyia favor, kitu ambacho si cha kawaida, kama alitaka ku-notice uwepo wa yule jamaa pale alipaswa kumpa salamu kwa maneno mawili matatu au kumshika bega ama kushake hand nae kwa confidence kubwa.
2. Samahani kwa kuchelewa kama mnavyojua London kwa wakati huu kuna msongamano wa magari....... inappropriate kwa mkutano wa kibishara kama huo.... focus on the message you want to deliver from that scene.
3 Sasha anatoa company profile kwa kutumia vikabrasha, technology ilshahama siku nyingi sana huko alipswa kutumia PowerPoint Presentation with visual aids (Graphs, Barcharts) wala maneno mengi tusingepaswa kuyasikia hapo!
4. Kanumba anapenyeza Ki-business card kichini chini kwa ajali ya mwanamke aliyempenda tena kupita kwa secretary wake! Kwa Mtu wa Caliber yake (Managing Director) wa Kampuni kubwa ya kutengeneza mziki anashindwa kuongea na mwanamke directly? Alipswa wakati wa short break au wakati wa ule wana-celebrate merging of the copampany aongee nae si kwa kutongoza just kujuana na Kanumba (Mr Macha) ndie alipaswa kuomba namba si demu.
Ndio maana nashangaa mwanamke ndio nayepiga simu baadae usiku tena kwenye kibanda cha simu, How odd is that?
itaendelea wengine waendeleze pia kama unahisi kuna kitu kiko kinyume just say it lengo sio kukbehi wala kubeza kazi wasanii wetu wanafanya! Lengo ni kutoa changamoto ili wafanye vizuri badae
Thanks