Google adsense, search engine optimization and seo trick for beginner in Tanzania

Google adsense, search engine optimization and seo trick for beginner in Tanzania

Nina passion na kuandika andika kama hivi blog, social medias pages, na mambo ya mtandao kiujumla.
Nimeshaomba matangazo AdSense mara nyingi ila wanagoma, naomba unishauri niboresheje ili:
1.Niendelee kutembelewa zaidi,
2.Nipate matangazo.
Kama ni blogger fanya haya
1.lugha iwe kiingereza
2.content zilizoshiba
3.usikopy
4.taging ya maana
5.kutumia keyword
6.seo ready templete
7.custom domain
8.submit site map google console na microsoft webmaster
9.usifocus na pesa share tu link uwezavyo iliutengeneze watu,maana inabidi uwatafute sio wakutafute
10.kuwa mbunifu weka pullz, forum, games yani vitu vinakavyoshwishi watu waendeleee kubaki kwenye blog yako
11.omba matangazo
 
Asante sana, nashukuru kwa ushauri wako ingawa kuyafanyia kazi yote ni shughuli. Lakini naahidi nitafanyia kazi ushauri wako, pia nitahitaji msaada zaidi kutoka kwenu wajuzi.
 
Kwa uzoefu wangu blog ni easy sana aisee ilinichukua miezi mitatu tu adsense wakaruhusu matangazo ila sikua serious kwa maana nilikua nactumia simu kufanya kila kitu easy [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom