Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

simu nyingi ambazo hazisurport hii Gcam, wanadai hazina ile camera 2 Api, so ili iweze kusurport inakulazimu uanze kuweka camera 2 Api kwenye simu yako.. kisha ufuate taratibu zingine.... wataalamu mtatusaidia... hayo maelezo yangu ni kwa msaada wa Prof. Google
 
Yes mkuu...hii nimeiongelea hapo kweny uzi,

Lakin camera api peke yke haitosh..lazma simu yako iwe na support ya gcam.. Yani kue na developer mweny gcam ya simu yako
 
Mkuu nawezapata gcam ya samsung a10s???
 
mkuu kcamp kama unajua iyo filter au jinsi ya kupiga picha itokee kama ivo
 
Nina redmi note 9 pro kuna haja kwel ya kuweka hyo gcamera maana naona hata kwenye camera potrait ipo
 
Weka kisha uangalie..hata sisi tuna camera zina portrait ila gcam tunatumia

Na gcam sio portrait tu... Kuna Hadi night sight, lakin hadi colour znakua natural kweny gcam kuzid hiyo stock camera ambapo wana over saturation
 
Shukran mkuu ,nipe link kwa redmi note 9 pro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…