Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Hapa vipi
PXL_20231124_125116818.jpg
 
Infinix na Tecno utaona rangi nyeupe tuu utadhani ni ukuta mweupe kumbe ni jua kali
Huzijui Infinix ndugu. Umekariri tu dharau na kasumba za wamiliki wa Samsung. Picha zinatoka vzr tu.
 
Wakuu camera yangu inafanya hivi hakuna plug in napata ya google pixel 4a
 

Attachments

  • 1303eea5-05da-4a90-a00b-b6a83cb5ab67.jpeg
    1303eea5-05da-4a90-a00b-b6a83cb5ab67.jpeg
    26.6 KB · Views: 13
Back
Top Bottom