Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Wakuu nahitaji Gcam ya redmi note 12, global version, niliyo install picha zinakuwa za kijani

Chief-Mkwawa

Nikipata link itapendeza zaidi
 
Na mm nipost sasa picha kutoka pixel 4a 5g yangu View attachment 2701983
Hii ya saa ngapi?

Jioni kabisaa.. saa 12 kasoro
IMG_1505.jpeg
 
Back
Top Bottom