Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu, hamna link ya moja Kwa moja inipeleke play store? Make inaniambia kuna tatizo wakati wa ku-download. Natumia Xiaomi note 8.
Hakuna playstore...

Nenda kweny hii site

Google Camera Ports Download

Ikigoma nayo nenda google search gcam hub... results ya pili ndio hyo link..utaifungua...kisha bonyeza list of all developers and modders...

Watakuja developers wote..kisha msake parrot...kisha fungua...

Utapakua version yyte ya parrot.. recommended ni version 3

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Imefunguka, ila naomba uzungushie hiyo version 3, ili ni click moja Kwa moja kwenye hao developers, make si wengine Mambo ya IT ni zero brain.
 
Naomba link ya Huawei p8 lite
 
Msaada wakuu,natumua redmi note 8,natumia gcam,sasa toka jana camera haipo vizur inaonesha kufifiafifia kwa mbali sa siajajua tatzo ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…