Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu nimeshindwa, kila nikijaribu, ina download, ila nikiifungua ili ni run, inaniambia 'There was a problem while parsing the package'.

Zote mpaka ya 5, naomba msaada plse,.
Umeitoa iliyo kuwepo kwanza? Simu yako ina android gan?

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Nimedownload kutoka kwenye hizo link ila nashindwa kuinstall...msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…