Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Tuwekee na picha ulizopiga wewe za wahindi zinatosha😜😜
 
Camera ya simu
Redmi note 8
Gcam picha inakua natural..angalia rangi ya majani...Stock camera picha inakua saturated...
Alafu piga picha kweny mwanga mzur mkuu..umepiga against mwanga hadi wingu limekua jeupe[emoji3]
 
Gcam picha inakua natural..angalia rangi ya majani...Stock camera picha inakua saturated...
Alafu piga picha kweny mwanga mzur mkuu..umepiga against mwanga hadi wingu limekua jeupe[emoji3]
Ndo nimepiga jioni hii
Naona stock camera inatoa picha nzuri zaidi
Ila kwa usiku gcam inafanya vizuri
 
Ndo nimepiga jioni hii
Naona stock camera inatoa picha nzuri zaidi
Ila kwa usiku gcam inafanya vizuri
Stock hapo ina oversaturate colour chunguza colour saturation vizur ..majani hayawi hivyo
Uzur wa picha mkuu sio saturation ni natural...hizo picha zote bado hazijafika kiwango ulipiga kwa timing mbaya..hata wingu sio rangi yake

Kesho piga mida mizur mazingira mazur utapata picha nzur hasa kwa gcam...

Kwa usku night sight ya gcam ndo balaa kabisa

Unatumia gcam gani
 
Gcam 7.3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…