Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Daah mkuu mbona mi yangu samsung A21s i inagoma kaka emu nisaidie basi nipate hij kamera mkuu android ni 10
A 20s huez pata mzee...kuna a50,a70 na a80
 
Mkuu naomba ya A51 Samsung

Jarbu hiyo..A seriez hizi kupata gcam ni kama kubet tu

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Mkuu camera napataje maana mada sijaelewa natumia infinix hot 10 lite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…