Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Attachments

  • 00000IMG_00000_BURST20210816091128708_COVER.jpg
    48.1 KB · Views: 3
Naomba link ya kudownload kwa ajili ya samsung A5 ya 2017.

Nimecheki naona simu yangu inaruhusi
 
Nimedownload BSG inawork vzr tu kwenye simu yangu.

Ila nimeshindwa kuload config kama kwenye version zingine za GCAM.

Msaada kama kuna njia nyingine ya kuload config.
 
Wabongo bana, eti tecno, kwani nyie wa Samsung simu mnazitumia kuwasiliana na wana anga wa NASA ama vipi. Wengine maskini hawajui hata setting za simu zaidi ya kupiga, sms na mulitandao ya kijamii lakini nae utamsikia hawezi kutumia Tecno. Poor mind kwa kweli.
 
Nimedownload BSG inawork vzr tu kwenye simu yangu.

Ila nimeshindwa kuload config kama kwenye version zingine za GCAM.

Msaada kama kuna njia nyingine ya kuload config.
Ume download version ipi ya bsg? Kuna bsg zenye kuruhusu configs na zingine haziruhusu,,, wew umepakua wapi?

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…