Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Hyo hakuna mkuu...

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
[emoji120][emoji120]Shukran zangu kwako chief, baada ya kupata mrejesho wako, siku kata tamaa nilipambana hatar, mpaka yanafika majira ya saa nne usiku nikafanikiwa, Lakin kila ninapopiga picha inatoka kivuli tu, nikachana nayo, Leo mchuano ukaendekea na alhamdulillah nimefanikiwa na picha napiga vizur tu.
 
Lakin ninayo shida moja, kwamba nikiweka option ya portrait au night sight inakataa, msaada tafadhali [emoji120]
 
Sasa fungua gcam yako kisha kwa juu pale utaona kimshare kimeangalia chini,kiguse utaona zinakuja options kibao..chagua settings kisha fungua...ukifungua settings weka screenshot hapa nione options zinazokuja kwako
@dendizzo mkuu anza kufata mtiririko kuanzia hapa...ukifanikiwa hadi hatua ya kutaka ku copy na ku paste configs kweny folder la gcam.. nambie ili nikutumie baadh ya config ujarbu

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Lakin ninayo shida moja, kwamba nikiweka option ya portrait au night sight inakataa, msaada tafadhali [emoji120]
Mkuu unajua kama nilivyokwambia..hakuna specific gcam ya simu yako...kwaiyo kupata gcam ni kubet..sasa kitu cha kubet ni ngumu kukupa msaada..zaid ya kuendelea kubet..

Chakufanya endelea kusaka gcam tofaut tofaut huend ukaotea moja yenye full functionality...

Kila lakher mkuu

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…