Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Ahsante ndg ubarikiwe Sana, umenifungua mengi mno [emoji120]
 
Kuna watu hawafahamu kuwa kuna settings na configuration,wanajua wakiweka Tu gcam bas wanategemea picha inatoka kama imepigwa na DSLR..
Ndio hapo sasa....mwamba badala arudi jukwaani akaona isiwe kesi [emoji28][emoji28]

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…