Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Nipm nikupe link ya Telegram upakue settings
msaada wako mkuu kimeo changu ni redmi 8a nimedownload gcam moja imepiga kazi fresh, ila tatizo ni kwamba ni selfie tu ndo imekubali ila ya nyuma imegoma msaada wako mkuu.
 
Moja Note 10 huitaj gcamator...,2 ulitumia bila configuration yyte...

Tumia nikita 7.4 kisha load config ya iPhone 12 pro max,au pixel5 styles

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Kumbe Kuna kudownload Camera na Config mkuu??? Au ndo maana mi najaribu 7.4 Samsung A12 inagoma maana hizo Config sijadownload
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…