Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

msaada wako mkuu kimeo changu ni redmi 8a nimedownload gcam moja imepiga kazi fresh, ila tatizo ni kwamba ni selfie tu ndo imekubali ila ya nyuma imegoma msaada wako mkuu.
Gcam gan hyo unayotumia
 
Kumbe Kuna kudownload Camera na Config mkuu??? Au ndo maana mi najaribu 7.4 Samsung A12 inagoma maana hizo Config sijadownload
Kama inagoma issue sio config,, config ni settings tu.. inamana gcam kama haifany kaz basi na config haiez fanya lolote
 
Sjawah kutana na issue hyo....weka picha zaid utuonyeshe
Yan hua siilewi2 labda sabbu ni Chinese version
Asubuh inaleta ukungu2,,,nikipiga uelekeo wa ziwa inaleta weusi2,mchana jua likiwa kali inaleta ukungu2 tena.....picha inatengamaa kukiwa hakuna jua kabisa

Alaf mkuu msaada iyo conf ya pixel
 
Aisee...ni simu gan na gcam gan hii

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Yan hua siilewi2 labda sabbu ni Chinese version
Asubuh inaleta ukungu2,,,nikipiga uelekeo wa ziwa inaleta weusi2,mchana jua likiwa kali inaleta ukungu2 tena.....picha inatengamaa kukiwa hakuna jua kabisa

Alaf mkuu msaada iyo conf ya pixel
Pm nikupe link ya Telegram

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…