Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

kcamp habari kiongozi, naomba muongozo wako nipate hiyo gcam kwenye Samsung Galaxy Note 9. Ni android versions 9.1
 
Tafuteni hizi simu zenye Camera nyingi kama Oppo Xiaomi au One Plus utaenjoy hakuna kitu tamu kama hiyo Astrophotography ni balaa la Dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…