The Gunners
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 220
- 438
Naomba ya sumsung j4 plusTecno haina gcam mkuu
Naomba link ya gcam ya oppo a92 nioneHaipo stock cam bora zaid,,ingekuepo basi developer wange port hiyo camera kama walivyo port gcam...ukiona gcam yako haiko poa basi sio stable au haiko compatible na simu yako..yes coz ni port hiyo..
Hii kitu ndio namwambia mkuu kcamp japo bado hataki kuamini. Kama hizo simu za redmi aisee zina camera matata sana.Upo sahihi!
Mfano Mimi natumia Redmi note 10 pro, stock camera ni nzuri zaidi kuliko hizi nyingine za kupakua.
Inategemea simu na simu, Kuna nyingn zinakubali na picha zinakua Bora kuliko stock camera.View attachment 2086406
Natumia redmi boss..nazijua vzr...naijua gcam vizur..ndiomana nimekupa sababu ukiona gcam haijakupa picha nzur ujue shida ni nin..hebu nitajie camera gani imekua ported kama gcam? Jibu ni hakunaHii kitu ndio namwambia mkuu kcamp japo bado hataki kuamini. Kama hizo simu za redmi aisee zina camera matata sana.
Na kama umemwelewa jamaa hapo anasema kuna wengne wanapata picha bora wengne wanakosa , sasa wanaokosa Ndio hao gcam zao sio compatible au stable kwa simu zao...kumbuka hiz ni port....ila ukipata gcam sahihi ya simu yako basi stock hakuna kitu itafanya.... features tu za gcam stock ikasome, camera algorithm yake hakuna manufacturers zaid ya google aliekua nayo....Hii kitu ndio namwambia mkuu kcamp japo bado hataki kuamini. Kama hizo simu za redmi aisee zina camera matata sana.
Mkuu naomba link ya gcam ya oppo a92 nitest zaliNa kama umemwelewa jamaa hapo anasema kuna wengne wanapata picha bora wengne wanakosa , sasa wanaokosa Ndio hao gcam zao sio compatible au stable kwa simu zao...kumbuka hiz ni port....ila ukipata gcam sahihi ya simu yako basi stock hakuna kitu itafanya.... features tu za gcam stock ikasome, camera algorithm yake hakuna manufacturers zaid ya google aliekua nayo....
Umewah kuskia developers wame port Samsung camera? One plus camera? Sony camera? Oppo camera? Redmi camera? Kama walivyo port Gcam? Hakuna had kesho .hushangai google camera kwann yenyew ndio imekua ported na developers zaida ya 70?
Case nyingne one plus kweny oxygen 12 wameizuia gcam kuperfom to the maximum wakaanza wekea limit kweny update mpya..sasa jiulize one plus kwann anazuia gcam kwa kuinyima.full access ya camera? [emoji3][emoji3]
Uliza kilichotokea sasa,watu waliwapiga spana OnePlus kweny forums zao hadi juzi wametangaza kuipa gcam full access ya camera.... bado tu huoni Google camera uchawi?
Kama ulikosa gcam sahihi nakubal utapata picha mbaya na stock itakua vzuri.wala sikatai hata mimi nmeona...ila ukisema kuna stock ni kali zaidi ya gcam hakuna hadi sasa...tungeona developer wanachangamkia...
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Ngoja nikuchekieMkuu naomba link ya gcam ya oppo a92 nitest zali
Mkuu naomba link ya gcam ya oppo a92 nitest zali
Imegoma hii, inainstall lakini haifunguki
Jarbu hii kwanza..ikikubal niambie nikutaftie na configs zake
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Okey ngoja nikupe ya chini yakeImegoma hii, inainstall lakini haifunguki
Imegoma hii, inainstall lakini haifunguki
Mkuu nisaidie oppo A52NGCam_7.4.104-v1.7
MediaFire is a simple to use free service that lets you put all your photos, documents, music, and video in a single place so you can access them anywhere and share them everywhere.www.mediafire.com
Weka hii kwanza tuone
Hii picha ni 11mb. [emoji114][emoji114]Upo sahihi!
Mfano Mimi natumia Redmi note 10 pro, stock camera ni nzuri zaidi kuliko hizi nyingine za kupakua.
Inategemea simu na simu, Kuna nyingn zinakubali na picha zinakua Bora kuliko stock camera.View attachment 2086406
Hakuna namna ya kuipata mkuu. Hiyo 0.6x ni Ultra wide Camera ya nyuma ambayo hiyo Pixel yako haina.Mkuu mie natumia Google Pixel 3Xl ,Nimeona kwa baadhi ya simu waki download config wanapata zenye camera features kama hii mpaka 0.6x,1x, 2x. But mie camera features yangu ya simu inaishia tu 1x na 2x hakuna hiyo 0.6x. Vipi kuna namna ya kuipata hii 0.6x?
View attachment 2113764
Mdau ameshakujibu hapo chiniMkuu mie natumia Google Pixel 3Xl ,Nimeona kwa baadhi ya simu waki download config wanapata zenye camera features kama hii mpaka 0.6x,1x, 2x. But mie camera features yangu ya simu inaishia tu 1x na 2x hakuna hiyo 0.6x. Vipi kuna namna ya kuipata hii 0.6x?
View attachment 2113764
Model numberPlease share for samsung galaxy s10 5G