Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu mimi natumia c5 kila niki download zinagoma. Lqkini simu yangu ina iyo android 8..

Naomba mwongozo na mimi nianze kula Raha ya Picha.

Kwako kcamp.
 
Mkuu mimi natumia c5 kila niki download zinagoma. Lqkini simu yangu ina iyo android 8..

Naomba mwongozo na mimi nianze kula Raha ya Picha.

Kwako kcamp.
C5 samsung?
 
Reactions: dtj
Mkuu asante nikefanikiwa kushusha.

Lakini inaenda kisha inasema App not installed. Hapo mchawi ni nani na nakamataje mchawi wangu?

Kwako Kcamp.
 
Hauna gcam iliyopo kwenye simu before hiyo?
Mkuu asante nikefanikiwa kushusha.

Lakini inaenda kisha inasema App not installed. Hapo mchawi ni nani na nakamataje mchawi wangu?

Kwako Kcamp.
 
Hii kiboko imenifanya nimefanikiwa kuhesabia nywele za moustachi wa huyu jamaa
 
Basi Basi restart sim kisha install tena tuone
Mkuu.

Nimefanya hivi tayari, lakini matokeo ni yaleyale ya kuwa, inaanza kuinstall lkn haifiki mwisho inasema App not Installed.

Mchawi bados anasumbua hapa.

Kwako, kcamp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…