Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Picha nzuri lakini Kuhama Apple ndo Shida inaanzia hapo😀😀
 
Hii bana sio Ile picha ndio zitaingia google Moja Kwa Moja Mzee Biden atatuchungulia??
 
Nili Idownload ikaanza kunidai ma location na manini nikaona inataka inipeleke Ukraine nini[emoji28]
Hapana ipe access ya storage tu tena while using an app
 
Nakupenda sana jamaa yangu una akili kinyama!!!
 
mkuu utakua unaongelea huawei za zaman na zile za bei chee,mawe yote yana fast charge tena ya fasta sana
Mkuu hivi Huawei kuanzia ya bei gani ndo tamu, mi naona huawei bado hajaikamata quality ya Sumsang , mi ninayo J7 ina miaka kibao na sijatamani hata Sim nyingine iko full satisfied to me...
 
Mkuu hivi Huawei kuanzia ya bei gani ndo tamu, mi naona huawei bado hajaikamata quality ya Sumsang , mi ninayo J7 ina miaka kibao na sijatamani hata Sim nyingine iko full satisfied to me...
Huawei saiz achana nayo mkuu,tafuta Samsung ya juu au Xiaomi moja hivi ya kwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…