Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu sorry nna swali
Ivhi inawezekana kutumia charger yenye watt18 kwenye simu inayoitaji watt25 na simu ikakaa na chrge kama kawaida au chage itakua inakata faster??
 
Mkuu sorry nna swali
Ivhi inawezekana kutumia charger yenye watt18 kwenye simu inayoitaji watt25 na simu ikakaa na chrge kama kawaida au chage itakua inakata faster??
Ukaaji wa charge ni ile ule ule tu mkuu,issue ya kukaa na charge ni swala la battery na software optimization yenyewe, hizo watt hazina impact katika ukaaji wa charge, zenyew ni kujaza haraka tu simu yako
 
Mkuu @gcamp naweza pata setting za gcam kwenye Xiaomi 11T Pro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…