Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Na hi Hali ya kusave picha mbili mbili ni kawaida au kwangu Tu!?
 
Hiyo ni kawaida hasa ukitumia potrait mode,moja inakua kawaida nyingne inakua ya potrait...sjachek kama kuna option ya kudisable ,hivyo huwa nafutaga ile nyingne tu

Na hi Hali ya kusave picha mbili mbili ni kawaida au kwangu Tu!?
 
Hongera mkuu...Karbu ulimwengu wa gcam
Niko india mara 1. Jana nimeenda shop kuchukua Redmi note 7pro. Niliipania tangu natoka Tz. Kufika shop nikakuta masimu kibao; honor, Azus, Oppo, Vivo, Motorola afu zote zina camera balaa. Nika ahirisha coz nilichanginyikiwa nichukue ipi.
Mkuu unanishauri brand gani nzuri hasa nikiweka Gcam?
 
Boss plz nicheki wasap Kwa heshima ya uzi wangu utatue kiu flani muhimu 0717135641
 
Chukua RN7 hiyo mkuu,au kama ni asus basi
Asus ZenFone 5
 
Mkuu zingatia andiko langu nicheki plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…