Asante mkuu. Maana nilioneshwa VivoV15. Aisee selfie yake nikachanganyikiwa kabisa.Chukua RN7 hiyo mkuu,au kama ni asus basi
Asus ZenFone 5
Iliyopo potrait haifanyi kazi mkuu,subria update ikitoka nitakutag
Grand primebplusOppo bado changamoto mkuu,ikiwa tayar link itawekwa hapa mkuu
Grand primebplus