Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google walivyo na bei zao za juu...si ajabu ikauzwa Milion 3
Tutegemee sana hilo! Sababu tu nimeona demo jinsi itakavyokuwa na 3D face unlock na zile motion gestures zinavyofanya kazi, utaona ni jinsi gani jamaa wameamua na wapo serious kwenye ubunifu pia itakuwa more secured ukilinganisha na matoleo ya nyuma.
 
Mbona mkuu ndio hizi hata sisi tunapiga znakua Kali tu....labda tips nyingine wenzetu wanatumia sana snapseed na lighroom kunogesha picha zaidi..mi pia nmeanza kutumia Lightroom kwenye picha za gcam..zikitoka hapo shidaa zaidiii
Fafanua plz hiyo nini sijui
 
Obvious mkuu
Mkuu nimezipakua ila sijaona tofauti. Lakini pia nimesoma kwenye hyo blog watu wengi hawajaona tofauti kati ya stock na gcam.

Ukija kwenye night mode hakuna tofauti maana update ya july kwa s10÷ iliboresha night mode cam, so hakuna tofauti ingawa mimi sio professional cameraman ila naweza kutofautisha.
 
Piga common objects afu upload humu kama hutojali tukupe tofauti wenda huna jicho la Camera.
 
Tunaomba sample ya hzo picha tujiridhishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…