Pixel noma mkuu...zile hazitak kelele..siku uwe nayo mkononi ndio utajua balaa lake...Ukweli kabisa ukifatilia vizuri Kuna source niliipata gsm arena inaonesha simu zenye kamera Bora, simu za Google pixel hata kumi bora hazimo, Huawei P 30 Pro aliongoza, halafu Samsung Galaxy S10 5G akafuata Oneplus 7 Pro, Honor 20 Pro, Mate 20 Pro, P 20 Pro, ........
Kuacha hii p30 pro.. basi Redmi note 7 pro au mi 9 si ndy tuseme hivyo! Haha!ila kwenye picha za mchana bado pixel anakalishwa na simu nyingi tu.
kila simu ina pros & cons niggaKuacha hii p30 pro.. basi Redmi note 7 pro au mi 9 si ndy tuseme hivyo! Haha!
Google pixel is king.
Ukweli kabisa ukifatilia vizuri Kuna source niliipata gsm arena inaonesha simu zenye kamera Bora, simu za Google pixel hata kumi bora hazimo, Huawei P 30 Pro aliongoza, halafu Samsung Galaxy S10 5G akafuata Oneplus 7 Pro, Honor 20 Pro, Mate 20 Pro, P 20 Pro, ........
Nipe model number. Yani SM-950??Vipi kwa mwenye simu ya samsung galaxy s8+???Naidownload vipi?
I mean SM-G955??Nipe model number. Yani SM-950??
Mfano simu gani inatoa picha mbaya hata kama gcam ipoGcam huwez kutumia ilimradi una cm
Atakama ni nzuri ila kwenye simu nyingi inaweza kutoa picha mbaya ukilinganisha na stock aplication
Mkuu samsung A9 series6 naweza kupata link?Uza mkuu [emoji16] uvute hata RN7
2 ila nishauzaOppo yako ina laini ngapi ?
hii stock camera ya RN7PROUngeweka na picha mkuu
Piga picha zote mbili location moja
Vipi kuhusu NOKIA 9 PUREVIEW, maana naona wanasema ni only for professional photographerPixel noma mkuu...zile hazitak kelele..siku uwe nayo mkononi ndio utajua balaa lake...
Sisemi brand zingine hawana camera kali..ila pixel hawakosei camera
p30 pro nuksi