Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Msaada kwenye simu Samsung A9, nimeshindwa kwabisa hataki kuinstall
 
Msaada wa link kama ipo ya samsung j5 2017...Android 8.1
 
iphone wako vzr

majuz nilipigwa picha kwa iphone xs max asee utasema ni photoshop

hizo pixel phones sizifahamu kwenye camera ila xs max nimenyoosha mikono
shika huawei p30 pro utashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…