Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Wale wenye Android 9 kuna AR sticker za Gcam ni balaaa
 
Msaada pls nina ulefone s1 ya mwaka 2018 jee inaweza kuinstall hiyo camera?
 
mkuu gcam version ya 6.3 mbona siipati nimeinstall ni 6.1 natumia RN7 pro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…