Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

GCAM version 7 kwa Redmi note 7

 
Jmn aliefanikiwa kweny A30 naomba anipe link nmedowload imegoma kufunguka ona hapa
 
Kwa iyo Samsung A30 bado haijapata toleo la hio camera wajameni naomba kama tayar niipate link.
 
Asante sana ikitoka mnijuze ila nongetamani unisaidie nijue hiyo ulosema potrait ndo mavitu gani hayo aisee[emoji848][emoji848]
Potrait ni ile feature ya kupoteza background na kufocus kweny object tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…