Hiyo simu ni mpya bado,vuta subira mkuu...au unaweza jaribu ya A10 ,kuna jamaa aliipost huko juu
Pm ili iweje wakati watu wote wanaelekeza hapa hapa kama ni ngumu basii acha haina ulazima
Kwenye laki 8 na kitua70 uliichukua kwa sh ngapi
Naam, android update zimetukumbuka kuhusu suala la Portrait mode sisi watumiaji wa Samsung A30.
Naam, android update zimetukumbuka kuhusu suala la Portrait mode sisi watumiaji wa Samsung A30.
J changamoto mkuu..japo kuna mtu niliona ama Gcam kweny j5 moja hivi...ww una j ipi boss?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nishadownload gcam....naomba setting ili itoe picha bora.J changamoto mkuu..japo kuna mtu niliona ama Gcam kweny j5 moja hivi...ww una j ipi boss?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nishadownload gcam....naomba setting ili itoe picha bora.
Natumia redmi note 7.
Pita hapa uone Kama simu yako ipo
Hiyo simu ni mpya bado,vuta subira mkuu...au unaweza jaribu ya A10 ,kuna jamaa aliipost huko juu
Sent using Jamii Forums mobile app