Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Okay nimeenda kusoma samsung site vizuri.
Wameweka link ya J6 yake ..lakini wanasema Camera og ya Samsung ni bora kuliko hii gcam..na nikweli nimeinstal nikacompare piture ya Simu ni beetter kuliko gcam

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo unajipa moyo tu mkuu..kwakua simu yako haina support ya gcam... tafuta simu nzur kisha weka gcam...utakuja hapa unachekelea mkuu[emoji3]

Samsung s na note ndio zina support..achana na hayo ma j na A series

Pia xiaomi wana support nzur ya gcam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…