Google chrome haifungui website yoyote nikiswitch internet

kila siki ado anatumia, almost 3yrs now, ndio maana anashangaa ghafla tu inagoma
Mwambie aangalie Access Point Name (APN) yake, kwa sababu mara nyingi simu haiwezi kubadilisha APN moja kwa moja inapohama kutoka laini moja hadi nyingine kwahiyo aende ahakikishe amechagua APN sahihi kwa mtandao unaotumia kwenye Settings > Mobile Networks > Access Point Names (APN).

Lakini pia baadhi ya simu zinahitaji uamue ni laini ipi itatumika kwa data. Kwa hiyo ajaribu pia kuangalia kwenye Settings > SIM & Network > Preferred SIM for Data kisha uhakikishe laini mpya imechaguliwa.

Lakini pia inawezekana simu yake imejianzishia tabia mpya ya kulock data hii huwa inazuia data kutumika kwenye laini moja ikiwa nyingine ilikuwa inatumika muda mfupi uliopita. Kwahiyo mwambie aangalie Data Usage Settings ili kuhakikisha kama hakuna kizuizi hicho.

Na kama hayo yote yatashindikana basi huenda kuna tatizo kwenye software ya simu au hata hardware (modem yake). Kwahiyo anaweza kujaribu ku-update system ya simu au kuifanyia factory reset kama tatizo litaendelea hata baada ya kuupdate.
 
[emoji120] ubarikiwe mkuu, imekua solved already, anajua mwenyewe alibonyeza wapi ikajimix kila akifanya settings inasindikana, but solved already, achechange APN
 
Back
Top Bottom