I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Today Google doodles on Tanzania's Independence Day in commemoration of the day when Tanganyika, the mainland region of Tanzania, gained independence in 1961.
=====
Ni kawaida kwa google kubadilisha muonekano wa nembo yao katika home page kulingana matukio mbalimbali kwa siku husika.
Happy independence day. Tudumishe amani katika nchi yetu. Uhuru na amani ni chachu ya maendeleo kwa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.