kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Haaaahaaaa haipo hivyo mkuu.Haiwezekani, hata ukibadili IP, itakuwa inauwezo wa kujua kama upo Tz au la
Hakuna technology inayoweza kupata route yako halisi kama unatumia TOR. Kwa VPN inawezekana ila ni ngumu na inategemea server unayotumia ila TOR ni Global Anonymous Proxy, kuna akili kubwa sana nyuma ya hio project