I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Duniani sidhan kama itakuja kutokea internet company kama google, hawa jamaa wanajua sana.View attachment 2038209
Today Google doodles on Tanzania's Independence Day in commemoration of the day when Tanganyika, the mainland region of Tanzania, gained independence in 1961.
=====
Ni kawaida kwa google kubadilisha muonekano wa nembo yao katika home page kulingana matukio mbalimbali kwa siku husika.
View attachment 2038211
Happy independence day. Tudumishe amani katika nchi yetu. Uhuru na amani ni chachu ya maendeleo kwa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
Ngumu kwa sababu kila mara wanajaribu kuendana na wakati.Duniani sidhan kama itakuja kutokea internet company kama google, hawa jamaa wanajua sana.
Hiyo inatokea kwa watumiaji wa Tanzania tuView attachment 2038209
Today Google doodles on Tanzania's Independence Day in commemoration of the day when Tanganyika, the mainland region of Tanzania, gained independence in 1961.
=====
Ni kawaida kwa google kubadilisha muonekano wa nembo yao katika home page kulingana matukio mbalimbali kwa siku husika.
View attachment 2038211
Happy independence day. Tudumishe amani katika nchi yetu. Uhuru na amani ni chachu ya maendeleo kwa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
NdioHiyo inatokea kwa watumiaji wa Tanzania tu
kwa kweli.Inapendeza sana
ViwandaInatuongezea nini hiyo sisi walalahoi?
NzUriView attachment 2038209
Today Google doodles on Tanzania's Independence Day in commemoration of the day when Tanganyika, the mainland region of Tanzania, gained independence in 1961.
=====
Ni kawaida kwa google kubadilisha muonekano wa nembo yao katika home page kulingana matukio mbalimbali kwa siku husika.
View attachment 2038211
Happy independence day. Tudumishe amani katika nchi yetu. Uhuru na amani ni chachu ya maendeleo kwa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
No, hata mie nilidhani hivyo ila nimebadili IP nikaweka ya netherlands lkn bado DOODLE iko vle vle. Nadhan DOODLE huwa ni globalHiyo inatokea kwa watumiaji wa Tanzania tu
Ilipaswa kuwepo picha ya Baba la Baba,. Le Commandant Field Marshall PhD holder. Uhuru haukamiliki bila Kamanda MkuuView attachment 2038209
Today Google doodles on Tanzania's Independence Day in commemoration of the day when Tanganyika, the mainland region of Tanzania, gained independence in 1961.
=====
Ni kawaida kwa google kubadilisha muonekano wa nembo yao katika home page kulingana matukio mbalimbali kwa siku husika.
View attachment 2038211
Happy independence day. Tudumishe amani katika nchi yetu. Uhuru na amani ni chachu ya maendeleo kwa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
Haiwezekani, hata ukibadili IP, itakuwa inauwezo wa kujua kama upo Tz au laNo, hata mie nilidhani hivyo ila nimebadili IP nikaweka ya netherlands lkn bado DOODLE iko vle vle. Nadhan DOODLE huwa ni global
Nguvu za kiume.Inatuongezea nini hiyo sisi walalahoi?
No, hata mie nilidhani hivyo ila nimebadili IP nikaweka ya netherlands lkn bado DOODLE iko vle vle. Nadhan DOODLE huwa ni global
Mkuu umereply comment ya cyber-expert.kama unatumia free vpn, zinakuaga na ujinga mwingi.
poa, nimekupataMkuu umereply comment ya cyber-expert.
Situmiagi VPN, coz wakiamua kukuuza wanakuuza dkk 0. Mie natumia TOR, naingia kwenye tunnel najichagulia Nchi yyt nnayotaka na silipii hata centi. Af doodle ni worldwide unless hio trh iingiane na culture ya nchi nyingine.