kali linux JF-Expert Member Joined May 21, 2017 Posts 2,192 Reaction score 5,685 Dec 9, 2021 #21 FRANCIS DA DON said: Haiwezekani, hata ukibadili IP, itakuwa inauwezo wa kujua kama upo Tz au la Click to expand... Haaaahaaaa haipo hivyo mkuu. Hakuna technology inayoweza kupata route yako halisi kama unatumia TOR. Kwa VPN inawezekana ila ni ngumu na inategemea server unayotumia ila TOR ni Global Anonymous Proxy, kuna akili kubwa sana nyuma ya hio project
FRANCIS DA DON said: Haiwezekani, hata ukibadili IP, itakuwa inauwezo wa kujua kama upo Tz au la Click to expand... Haaaahaaaa haipo hivyo mkuu. Hakuna technology inayoweza kupata route yako halisi kama unatumia TOR. Kwa VPN inawezekana ila ni ngumu na inategemea server unayotumia ila TOR ni Global Anonymous Proxy, kuna akili kubwa sana nyuma ya hio project