Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Google Earth ndiyo nayotumia, hata nikiangalia hapa nilipo tu naona iko off zaidi ya miezi miwili kwa sababu kuna jengo hapa limeezekwa mwezi wa saba lakini halipo kwenye ramani!!
1892 tayari kulikuwa na satelite angani kuipiga picha dunia na mipaka ya nchi zake?.
nimekuliza how comes google earth inayotumiwa na mashirika makubwa ya habari kama cnn inatoa real time images?.